Kwa mashabiki wangu wote π€π Katika mwezi huu mtukufu, nawatakia ibada njema na dua zilizojibiwa. Tuzidi ku-support kazi nzuri na tuendelee kuombeana ππΎ Ramadhani Kareem.#HUU MWAKA #SONGπ΅πΆ
SIKU HII YA LEO JUMAMOS SAA 6:00 USIKU TUNAIACHIA VIDEO YETU YAβ¦ ALLE BOY FT ROLO CLASSIC - YE YE ( OFFICIAL VIDEO) ITAPATIKA KWENYE CHANNEL YANGU HII.. ALLE BOY Official π
NIPENDE KUWASHUKURU SHABIKI ZANGU MNAOENDELEA KUWA PAMOJA NA MIMIβ¦.πππππ
AlleBoy Official Katoto
Kwa mashabiki wangu wote π€π
Katika mwezi huu mtukufu, nawatakia ibada njema na dua zilizojibiwa.
Tuzidi ku-support kazi nzuri na tuendelee kuombeana ππΎ
Ramadhani Kareem.#HUU MWAKA #SONGπ΅πΆ
4 months ago | [YT] | 7
View 1 reply
AlleBoy Official Katoto
π₯Umeiona Hii Tayari?π₯ Hii Ni Scene Kali Kutoka Kwenye Wimbo Wangu Mpya HUU MWAKA Tazama Video π
https://youtu.be/ePF-pyLq1PE?si=Vka-8...
Niambia Unavyouona Huu Muonekano!π
#HuuMwaka #newmusic #bongofleva #vibes #new #amapiano
7 months ago | [YT] | 4
View 0 replies
AlleBoy Official Katoto
ALLE BOY OFFICIAL... NAWATAKIA SIKU 7 ZA WAPENDANAOπΉWIKI YA VALENTINEπ
1 year ago | [YT] | 14
View 0 replies
AlleBoy Official Katoto
I wish you all a happy new year with a better success on 2025 !!!.πππ
1 year ago | [YT] | 2
View 0 replies
AlleBoy Official Katoto
Katoto Remix - Rams Ft Shebby T. Abayo, Raymond Tz
1 year ago | [YT] | 8
View 0 replies
AlleBoy Official Katoto
VIDEO OUT NOWβ¦.
ππ
2 years ago | [YT] | 7
View 1 reply
AlleBoy Official Katoto
SIKU HII YA LEO JUMAMOS SAA 6:00 USIKU TUNAIACHIA VIDEO YETU YA⦠ALLE BOY FT ROLO CLASSIC - YE YE ( OFFICIAL VIDEO)
ITAPATIKA KWENYE CHANNEL YANGU HII.. ALLE BOY Official π
NIPENDE KUWASHUKURU SHABIKI ZANGU MNAOENDELEA KUWA PAMOJA NA MIMIβ¦.πππππ
2 years ago | [YT] | 11
View 0 replies
AlleBoy Official Katoto
Tuendelee Kuenjoy Video Ya Katoto Inayoendelea Kufanya Vizury Mtadaon... ina Wiki Moja Tangu Imezinduliwa....
youtube.com/@alleboy361?si=LERIgvWlou8VPBvf
2 years ago | [YT] | 10
View 0 replies
AlleBoy Official Katoto
New Video Out.. π
youtube.com/@alleboy361?si=Faxj3NtcrN2bGJXh
2 years ago | [YT] | 9
View 0 replies