Sports & Entertainment Channel, House of Sports News and Interviews, owned by Mpenja Media Company LTD, under Founder and CEO, Baraka Adson Mpenja, Senior Journalist and Commentator of Tanzania Football.

Call/WhatsApp!: +255748101101
E-Mail: mpenjatvtz@gmail.com

#TunazungumzaMichezo


Mpenja TV

MAREKEBISHO YA PITCH KWA MKAPA KAZI IMEANZA

Marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam yameanza ili kuweka nyasi halisi mpya.

Kazi hiyo itafanyika kwa muda wa miezi sita kupitia Kampuni ya Reform Sports kutoka nchini Uturuki.

1 month ago | [YT] | 76