GHETTO VIBE PARK TV



🌟Love Our Work? Show Your Support by Subscribing, Liking, and Sharing! 🌟

πŸŽ‰Subscribe to GHETTO VIBE PARK on YouTube! πŸŽ‰

Want to stay ahead of the curve on the latest emerging issues concerning the youth in Kenya? GHETTO VIBE PARK has got you covered!

✨Special Show of Kenya: GHETTO VIBE PARK SHOW✨

We bring you a dynamic and engaging lineup:

- MY Story Segment:Dive into powerful stories and expert insights that inspire and empower.
- Udaku Segment:Get the hottest news and trending topics delivered straight to you.
- Let's Chat Segment:Join the conversation on trending issues and matters affecting our community.
- Vibe Mtaani Segment:Explore the vibrant activities and happenings in our community.

Stay connected with GHETTO VIBE PARK SHOW for all the latest updates, stories, and vibes from the heart of Kenya!



youtube.com/channel/UCwt9bVLSTiwqXG0HRWTigNw


GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ UDAKU NA OCHI!

Mahakama imemzuia Morara Kebaso kutoa au kuchapisha kauli zinazomhusu Mbunge wa Borabu, Patrick Osero, hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani itakaposikilizwa.

Hata hivyo, mahakama haikukubali ombi la Mbunge huyo la kushughulikia kesi hiyo kwa dharura.

Sasa swali ni... ukizuiwa kuzungumzia mtu hadharani, unafanya nini? πŸ€”πŸ‘‡

#UdakuNaOchi #TrendingKE #KenyaNews

1 week ago | [YT] | 4

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ UDAKU NA OCHI!

πŸ‡°πŸ‡ͺ✈️ Wakenya 48 zaidi wamerejea nyumbani kutoka South Africa huku msako dhidi ya wahamiaji wasio na nyaraka ukiendelea baada ya tarehe ya mwisho ya Juni 30 kupita.

Je, ungekuwa huko, ungeamua kurudi nyumbani au kubaki ukipambana? πŸ‘‡

#UdakuNaOchi #SouthAfrica #Kenya

1 week ago | [YT] | 1

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ UDAKU!

Kenya na Italy sasa wameungana kupambana na uhalifu wa kimataifa! 🀝🌍

Makubaliano hayo yalisainiwa na Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italy, Matteo Piantedosi, yakilenga kuimarisha ushirikiano kati ya vyombo vya usalama vya nchi hizo mbili katika vita dhidi ya uhalifu wa kuvuka mipaka.

Je, unadhani ushirikiano huu utasaidia kupunguza uhalifu wa kimataifa? πŸ‘‡

P

1 week ago | [YT] | 1

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ UDAKU!

Kenya na Italy sasa wameungana kupambana na uhalifu wa kimataifa! 🀝🌍

Makubaliano hayo yalisainiwa na Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italy, Matteo Piantedosi, yakilenga kuimarisha ushirikiano kati ya vyombo vya usalama vya nchi hizo mbili katika vita dhidi ya uhalifu wa kuvuka mipaka.

Je, unadhani ushirikiano huu utasaidia kupunguza uhalifu wa kimataifa? πŸ‘‡

P

1 week ago | [YT] | 1

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ UDAKU!

Kenya na Italy sasa wameungana kupambana na uhalifu wa kimataifa! 🀝🌍

Makubaliano hayo yalisainiwa na Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italy, Matteo Piantedosi, yakilenga kuimarisha ushirikiano kati ya vyombo vya usalama vya nchi hizo mbili katika vita dhidi ya uhalifu wa kuvuka mipaka.

Je, unadhani ushirikiano huu utasaidia kupunguza uhalifu wa kimataifa? πŸ‘‡

1 week ago | [YT] | 1

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ Udaku na Ochi!

"Mr. Speaker Sir" ametoka kwa personal bond ya KSh100,000. Kesi bado iko mahakamani, hivyo tusubiri mchakato wa sheria ukamilike.

Mnasemaje kuhusu maendeleo haya? πŸ€”

#UdakuNaOchi #KenyaNews

1 week ago | [YT] | 2

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ‘€ OCHI YA UDAKU: JE, NI KWELI PASTOR EZEKIEL AMESEMA WACHUNGAJI WANAOVAA NGUO TOFAUTI TOFAUTI HAWANA UTAUWA?

Mitandaoni kumekuwa na madai kwamba Pastor Ezekiel alisema wachungaji wanaobadilisha mavazi mara kwa mara au kuvaa aina tofauti za nguo si wa Mungu, na kwamba wachungaji waliotiwa mafuta huongozwa na Mungu kuvaa aina moja tu ya mavazi.

πŸ€” Lakini swali kubwa ni: Je, alisema hivyo kweli, au ni maneno yaliyokatwa na kuenezwa nje ya muktadha?

Wadaku wa mtandaoni wamegawanyika. Wapo wanaodai kuwa kuna ujumbe wa kiroho nyuma ya mavazi ya watumishi wa Mungu, huku wengine wakisema kuwa utauwa haupimwi kwa aina ya nguo mtu anazovaa bali kwa maisha na matendo yake.

πŸ‘€ Ochi ya udaku inaendelea kufuatilia ili kubaini ukweli wa kauli hiyo na muktadha wake kamili. Kama kuna video au mahubiri husika, ndiyo njia bora ya kuthibitisha kile kilichosemwa badala ya kutegemea nukuu za mitandaoni.

πŸ”₯ Wewe unaonaje? Je, mavazi ya mchungaji yana uhusiano na upako, au ni suala la mtindo na mapendeleo binafsi?

3 weeks ago | [YT] | 3

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ”₯ UDAKU NA OCHI πŸ”₯

History will remember the 40 MPs who on 18th June 2026 voted NO to the Finance Bill 2026/27.

Kwa wakati ambao Wakenya wengi walikuwa wakilalamikia hali ngumu ya maisha, these leaders chose to stand with the people and reject what many termed an oppressive Bill.

Wale waliopiga kura ya NO sasa wanasifiwa na baadhi ya wananchi kama true representatives of the people, while those who voted YES ama wakaamua kutokuwepo wakati wa kura wanakosolewa kwa kuweka siasa mbele ya maslahi ya wananchi.

Siasa ni mchezo wa numbers, na 2027 is around the corner. Wapiga kura wataamua nani alisimama nao na nani aliwaangusha wakati wa maamuzi muhimu.

Meanwhile, number 40 si number ya kawaida. Katika Bible na Qur'an, mara nyingi inaashiria kipindi cha majaribu, preparation, endurance na transformation.

πŸ‘€ Swali ni moja: Je, hawa 40 watakumbukwa kama mashujaa wa wananchi ama ni politics as usual?

#UdakuNaOchi #FinanceBill2026 #KenyaPolitics #ParliamentKE #TrendingKE

3 weeks ago | [YT] | 2

GHETTO VIBE PARK TV

πŸ”₯ UDAKU NA OCH I πŸ”₯

Moto umewaka kati ya KRG The Don na Dagoretti North MP Beatrice Elachi!

KRG amemkosoa vikali Elachi baada ya matamshi yake kuhusu wafanyakazi wa Burundi wanaofanya kazi za mjengo nchini Kenya. Msanii huyo amesema Kenya ni nchi inayokaribisha watu kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kutafuta maisha na kuwalisha familia zao.

"Kama viongozi wanataka Wakenya wapate kazi bora, basi watengeneze opportunities zenye zitalipa vizuri badala ya kulaumu wageni wanaotafuta riziki," alisema KRG.

Kauli hizi zinajiri baada ya Elachi kueleza wasiwasi wake kuwa baadhi ya waajiri wanawalipa wafanyakazi wa Burundi kiwango cha chini kuliko kile kinachotarajiwa katika sekta ya ujenzi.

Sasa debate imehamia online, with Kenyans divided. Wengine wanasema local jobs lazima zilindwe, huku wengine wakisema Africa ni moja na kila mtu ana haki ya kutafuta maisha popote anapoweza.

πŸ‘€ Wewe unasemaje? Protect local jobs first ama tusonge mbele na spirit ya African brotherhood?

#UdakuNaOchu #TrendingKE #KRGTheDon #BeatriceElachi

3 weeks ago | [YT] | 1

GHETTO VIBE PARK TV

🚨 FINANCE BILL 2026 YAPITA BUNGENI! 122 MPs WAPIGA NDIO, 40 WAPIGA HAPANA 🚨

Karibu UDAKU NA OCHI ndani ya GHETTO VIBE PARK TV NEWS.

Baada ya mjadala mkali na mvutano wa kisiasa, National Assembly imepitisha Finance Bill 2026 ikiwa na baadhi ya amendments. Jumla ya wabunge 122 waliunga mkono Bill hiyo huku 40 wakipiga kura ya kuikataa.

Hatua hii ni ushindi mkubwa kwa serikali, lakini imeibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi. Wapo wanaosema Bill hiyo itasaidia serikali kupata mapato ya kuendesha miradi ya maendeleo, huku wengine wakihofia kuwa baadhi ya mapendekezo yanaweza kuongeza mzigo kwa mwananchi wa kawaida.

Bungeni kulikuwa na moto wa kuotea mbali, baadhi ya MPs wakitetea Bill hiyo kwa nguvu zote, huku wengine wakisisitiza kuwa maslahi ya Wakenya lazima yawekwe mbele.

Sasa swali kubwa ni hili... πŸ€”

πŸ”₯ Je, MP wako alipiga kura ya NDIO ama HAPANA? πŸ”₯ Unaunga mkono Finance Bill 2026 ama unaona Wabunge walipaswa kuikataa?

Mambo ya siasa Kenya huleta drama kuliko telenovela zingine! πŸ˜…

Tuambie maoni yako kwenye comments.

πŸ‘ Like πŸ’¬ Comment πŸ“€ Share πŸ”” Subscribe kwa GHETTO VIBE PARK TV NEWS kwa breaking news, siasa, udaku na stories zinazotikisa nchi.

#FinanceBill2026 #UdakuNaOchi #GhettoVibeParkTV #KenyaPolitics #Bunge #BreakingNews #TrendingKenya

3 weeks ago | [YT] | 1