Mwamuzi wa kwanza mweusi kwenye Ligi Kuu ya Engaland alikuwa Uriah Rennie.Aliezaliwa October 23, 1959 katika mji wa Sheffield, United Kingdom, mpaka sasa ana umri wa miaka 64 .
Uriah Rennie ndiye alikuwa Mwamuzi wa kwanza mweusi kwenye Ligi Kuu ya Engaland . Alisimamia zaidi ya mechi 300 za ligi kuu kati ya 1997 na 2008. Tarehe 26 Disemba 2023, Sam Allison akawa mwamuzi wa pili mweusi kuchukua jukumu la kuchezesha mechi za Ligi Kuu, akianza kuchezesha kati ya Sheffield United na Luton Town.
CRIX PRO
FULL TIME;
Simba SC 1-1 Al Hilal
Ateba⚽
Pokou⚽
#FriendlyMatch
NB; subscribe my channel kwa updates zaidi za michezo
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
CRIX PRO
HIVI HAPA VIKOSI VINAVYOANZA SIMBA Vs AL HILAL
ATAKAEOMBA MAJI APELEKEWE MOTO TU😂
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
CRIX PRO
Mwamuzi wa kwanza mweusi kwenye Ligi Kuu ya Engaland alikuwa Uriah Rennie.Aliezaliwa October 23, 1959 katika mji wa Sheffield, United Kingdom, mpaka sasa ana umri wa miaka 64 .
Uriah Rennie ndiye alikuwa Mwamuzi wa kwanza mweusi kwenye Ligi Kuu ya Engaland . Alisimamia zaidi ya mechi 300 za ligi kuu kati ya 1997 na 2008. Tarehe 26 Disemba 2023, Sam Allison akawa mwamuzi wa pili mweusi kuchukua jukumu la kuchezesha mechi za Ligi Kuu, akianza kuchezesha kati ya Sheffield United na Luton Town.
ukitaka kufahamu zaidi tembelea camptv kila siku.
#tukujuze
🖥@tzcriss
#Camptv
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
CRIX PRO
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Wazee wa## Ubaya ubwela kesho saa kumi kazi kwenu
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies