Karibu Hamasika Tv, Kwa Habari za Hamasa Kuhusu Maisha na Mafanikio
Usisahau Kubonyeza Subscribe


Hamasika Tv

Je, unatuma maombi mengi ya kazi lakini hupati majibu? Inawezekana kuna mambo muhimu hujafanya kabla ya kuomba kazi. Katika video hii utajifunza kwa kina hatua muhimu za kuchukua kabla ya kutuma CV au barua ya maombi ili kuongeza nafasi zako za kupata ajira haraka.

3 months ago | [YT] | 2

Hamasika Tv

Katika video hii, tunazungumzia mambo muhimu sana ambayo kila kijana anatakiwa kufanya ili kuondokana na maisha ya kawaida na kuanza safari ya mafanikio ya kweli.

Utajifunza:
✔️ Jinsi ya kubadilisha mindset (mtazamo wa maisha)
✔️ Tabia zinazomzuia kijana kufanikiwa
✔️ Mambo ya msingi ya kufanya mapema kabla hujachelewa
✔️ Namna ya kutumia muda wako vizuri kama kijana
✔️ Jinsi ya kujijenga kielimu, kifedha na kimaadili

4 months ago | [YT] | 4

Hamasika Tv

Kama unataka kujifunza kuhusu Biashara za mtandaoni, Tabia za watu wanaofanikiwa, nidhamu ya pesa, pamoja na jinsi ya kuingiza pesa mtandaoni kwa njia rrahisi basi Video hii ni kwa ajiri yako Bonyeza kutazama sasa!!

4 months ago | [YT] | 0