Video za habari na matukio duniani kutoka BBCSwahili.com


BBC News Swahili

Annifah Adhiambo aliishi kwa kujificha na ukimya usio kifani, alihisi aibu kutokana tatizo la fistula alilokuwa nalo. Amezungumza na mwandishi wa BBC Asha Juma katika safari Waridi wa BBC. Bofya https://youtu.be/An1Pmq2ARhs kusikiliza mahojiano haya

18 hours ago | [YT] | 22

BBC News Swahili

WARIDI WA BBC: 'Nilitokwa na haja ndogo bila kukoma kwa miaka minne'

19 hours ago | [YT] | 0

BBC News Swahili

Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako 👉👉whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

20 hours ago | [YT] | 6

BBC News Swahili

Kundi maarufu la watoto wanaocheza na kuchekesha kutoka Uganda, Ghetto Kids limealikwa kutumbuiza pamoja na mwanamuzi Shakira wakati wa mapumziko katika michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA

1 day ago | [YT] | 166

BBC News Swahili

Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako 👉👉whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

1 day ago | [YT] | 8

BBC News Swahili

Kombe la Dunia 2026: Ni wachezaji gani wakongwe zaidi waliowahi kucheza katika historia ya mashindano ya kombe la dunia

1 day ago | [YT] | 22

BBC News Swahili

Nchi gani Afrika inaongoza kwa kuwa na deni la kutisha 2026

2 days ago | [YT] | 28

BBC News Swahili

Pata habari,uchambuzi na simulizi moja kwa moja kwenye simu yako 👉👉whatsapp.com/channel/0029Vaguu59FcowC5O1Nl01o

2 days ago | [YT] | 10

BBC News Swahili

'Hatuwezi kuwa na Rais anayemua kila kitu yeye'

5 days ago | [YT] | 10

BBC News Swahili

“Mwaka jana, jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na kuwafanyia ukatili wa kingono raia wa Uganda Agather Atuhaire na raia wa Kenya Boniface Mwangi, waliokuwa jijini Dar es Salaam kufuatilia kesi mahakamani dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu,”
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Faustine Jackson Mafwele kuingia nchini Marekani.
-
Mwezi Februari mwaka huu kitengo cha uchunguzi cha BBC Africa Eye kilitoa filamu iliyoitwa ‘Hali ya hofu Tanzania’ na kuchunguza juu ya wimbi la matukio ya utekaji Tanzania. Katika filamu hiyo manusura wa matukio hayo wakiwemo Atuhaire na Mwangi walimtaja Mafwele kama mhusika mkuu wa kadhia zilizowafika.

-
“Kukamatwa kwao kulifanyika kisheria. Idara ya uhamiaji inakanusha madai yoyote ya makosa,” serikali ya Tanzania iliiambia BBC Africa Eye.
-
-
-
#bbcswahili #tanzania #polisi #hakizabinadamu #marekani

5 days ago | [YT] | 202