Kwa majina naitwa Mr. Makemba ni mtaalam wa ufugaji Samaki mwenye shahada ya sayansi ya akua na teknolojia ya uvuvi(Bsc in Aquatic sciences and fisheries technology)
Huduma nazotoa ni pamoja na
1. Ujenzi wa bwawa za Samaki
2. Ujenzi wa tangi za kuhamishika Kwa ufugaji Samaki
3. Kumtembelea mkulima na Kutoka ushauri wa kitaalam juu ya Ufugaji Samaki
4. Kuandika maandiko ya mchanganuo wa gharama za mradi wa ufugaji Samaki
5. Uuzaji wa kitabu cha ufugaji Samaki
6. Uuzaji wa fomula na mwongozo wa utengenezaji wa chakula cha samaki
7. Kuwatafutia wakulima masoko ya samaki
Kwa mawasiliano wasiliana na Mtaalam wa ufugaji Samaki Kwa namba zifuatazo
+255745026287
+255678940570
DSM-TZ.
MAKEMBA SAMAKI TECHNOLOGY
youtube.com/@makembasamakitechnology?si=AiN6YYpdII…
MAKEMBA SAMAKI TECH
+255678940570
DSM🎉🙏🐬
2 weeks ago | [YT] | 1
View 0 replies
MAKEMBA SAMAKI TECHNOLOGY
🐊 KENGE: ADUI HATARI KATIKA UFUGAJI WA SAMAKI
Moja ya changamoto kubwa katika ufugaji wa samaki ni uwepo wa maadui (predators) wanaoweza kusababisha hasara kubwa kwa mfugaji. Maadui hao wanaweza kuwa wezi, ndege wala samaki, nyoka, na hata kenge.
Kenge wakubwa wa majini wana tabia ya kuingia kwenye mabwawa ya samaki na kuanza kuwinda samaki. Tatizo hili lisipotambuliwa na kudhibitiwa mapema linaweza kusababisha:
❌ Kupungua kwa idadi ya samaki
❌ Msongo wa mawazo (stress) kwa samaki
❌ Kupungua kwa ukuaji wa samaki
❌ Hasara kubwa kwa mfugaji
Ukiona kenge karibu na mradi wako, zingatia hatua hizi:
✅ Weka uzio wa waya wenye matundu madogo kuzunguka bwawa ili kuzuia kenge kuingia.
✅ Fuga mbwa wa ulinzi kusaidia kufukuza wanyama wanaovamia eneo la mradi.
✅ Fyeka vichaka na majani marefu yanayozunguka mabwawa ili kuondoa maficho ya kenge.
✅ Wasiliana na mamlaka husika za wanyamapori kwa ushauri na hatua salama za kudhibiti kenge wanaosababisha madhara.
Kinga ni bora kuliko tiba. Ukaguzi wa mara kwa mara wa mabwawa yako unaweza kukusaidia kugundua tatizo mapema na kuzuia hasara.
📚 Kwa elimu zaidi kuhusu ufugaji wa samaki, ujenzi wa mabwawa, usimamizi wa maji, lishe ya samaki, upatikanaji wa vifaranga bora na vitabu vya ufugaji, usisite kuwasiliana nasi.
📞 Makemba Samaki Tech
📱 +255 678 940 570
📍 DSM, Tambani, Stand ya Noah
"Maarifa sahihi ndiyo msingi wa mafanikio katika ufugaji wa samaki."
3 weeks ago | [YT] | 1
View 0 replies