Excellence is my portion


HON. KABALO

#live: GHALA YA HEKIMA | GLORIOUS TALK NA Pastor Sam Gripper
https://youtu.be/6FvyhGFPL0Q

3 years ago | [YT] | 1

HON. KABALO

PRAISE JESUS! PRECIOUS PEOPLE OF GOD. Ni Ijumaa iliyobarikiwa tena. Tutakuwa tukiendelea na SEGMENT ya majadiliano ya Biblia. Na siku ya leo tutakuwa tukijadili Nyaraka mbili za PETRO, waraka 1&2. Tutakuwa na Mwalimu wetu, Apostle Shemeji Melayeki. Kama umekuwa mfuatiliaji wa Vipindi hivi, umekuwa shahidi wa namna Mungu anavyotufundisha na kutuvusha kutoka hatua kwenda hatua kupitia vipindi hivi. Hivyo nikuombe uandae Moyo wako, na upange ratiba zako ili wakati ukifika uwe na nafasi nzuri ya kujifunza. TUTAKUWA LIVE KUPITIA Mitandao ya kijamii:- Facebook page: NEXT LEVEL MENTALITY. INSTA-LIVE: NEXT LEVEL MENTALITY na HON. KABALO YOUTUBE: HON. KABALO USIPANGE KUKOSA!

https://youtu.be/MXv7XlLk-94
https://youtu.be/MXv7XlLk-94
https://youtu.be/MXv7XlLk-94
https://youtu.be/MXv7XlLk-94
https://youtu.be/MXv7XlLk-94

3 years ago | [YT] | 7

HON. KABALO

#live: BIBLE READING PROGRAM/MPANGO WA USOMAJI BIBLIA 2022-2023 | AWAMU YA SABA| -Shemeji Melayeki

https://youtu.be/juaT1gSvj-g

3 years ago | [YT] | 7

HON. KABALO

#live: FAHAMU UMUHIMU WA MIPANGO KATIKA MALENGO | GLORIOUS TALK na EMMANUEL MAKWAYAhttps://youtu.be/lTQa8KU45G8

3 years ago | [YT] | 4