Mifugo Tz chini ya JOACK Company Limited inatoa huduma za mifugo pamoja na uuzaji wa bidhaa zote zinazo husiana na maswala ya Mifugo | Tanzania | Simu: +255712253102
Dawa zetu zinasaidia kutibu na kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo kama:
● Kuhara (Diarrhea) ● Homa na maambukizi ya bakteria ● Minyoo ya ndani (Internal parasites) ● Magonjwa ya mfumo wa upumuaji (Respiratory diseases) ● Maambukizi ya ngozi (Skin infections) ● Magonjwa ya uzazi ● Maambukizi ya mkojo ● Vidonda na majeraha ● Coccidiosis ● Mastitis kwa ng’ombe wa maziwa
FAIDA ZA DAWA ZETU: ✔ Zinasaidia kupona haraka ✔ Huongeza afya na uzalishaji wa mifugo ✔ Zinapatikana kwa aina mbalimbali ✔ Ushauri wa kitaalamu bure
Unatafuta bata mzinga wenye afya na wanaokua kwa kasi?
JOACK COMPANY LIMITED tunakuletea bata mzinga bora wanaofaa kwa uzalishaji wa nyama na ufugaji wa kibiashara.
Huduma zetu: Uuzaji wa bata mzinga wa rika mbalimbali Bata mzinga wenye afya na waliotunzwa kitaalamu Ushauri wa lishe bora na matunzo sahihi Mwongozo wa ufugaji na uzalishaji wenye tija
Faida za kufuga bata mzinga: Ukuaji wa haraka na uzito mkubwa Soko zuri la nyama Uzalishaji wenye faida kwa mfugaji Chagua bata mzinga bora kwa ufugaji wenye mafanikio.
Sema kwaheri kusubiri mafundi! JOACK tumekuletea suluhisho la uhakika kwa ufugaji wako. Hatutengenezi kwa kusubiri oda ya wiki mbili, hapa ni Lipa na Kuchukua hapo hapo!
Sifa za Mabanda Yetu: Ngazi Mbili (Double Layer): Huongeza nafasi ya kufugia hata kama eneo lako ni dogo.
Imara na Ya Kisasa: Yamejengwa kwa fremu imara, mbao bora, na wavu wa chuma (wire mesh) unaodumu.
Ni ya Kuhamishika (Mobile): Unaweza kuyasogeza au kuyahamisha kirahisi kulingana na mahitaji yako.
Usafi Rahisi: Yamesanifiwa kwa namna ambayo ni rahisi kusafisha na kuzuia magonjwa kwa mifugo.
Tayari kwa Kazi: Mabanda yote yamekamilika, kuanzia milango, sehemu za kulia chakula, na paa imara.
KWANINI UCHAGUE JOACK?
✅ Hakuna Kusubiri Oda: Usipoteze muda na ahadi za mafundi. Unakuja, unachagua unalotaka, unalipa, na kuondoka nalo.
✅ Ubora wa Viwango: Kila banda limekaguliwa na mafundi wetu kuhakikisha lina kidhi mahitaji ya kuku, sungura, au vifaranga.
✅ Bei Rafiki: Tunatoa thamani halisi ya pesa yako kwa vifaa bora zaidi sokoni.
JOACK MOBILE LIVESTOCK HOUSES Ufugaji wa Kisasa, Kurahisisha Kazi Yako! 🚀
- Wasiliana nasi ili kupata haya mabanda lakini pia utapewa na ushauri wa kitaalamu kuhusiana na ufugaji kibiashara, pia utapata fursa ya kuunganishwa na soko.
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Kabla hujapanda mnazi shambani au nyumbani kwako, ni muhimu kufahamu aina zake, faida zake, na wastani wa mavuno yake:
1️⃣ Mnazi mrefu / wa asili (East African Tall)
Huanza kuzaa baada ya miaka 6–8. Unaishi miaka mingi (zaidi ya 60). Hutoa 70 – 100 nazi kwa mwaka.
2️⃣ Mnazi mfupi wa Kipemba (Malaysian Yellow Dwarf)
Huanza kuzaa mapema (miaka 3–4). Una maisha ya kati (miaka 30–40). Hutoa 80 – 120 nazi kwa mwaka.
3️⃣ Mnazi Chotara (Hybrid)
Ni mchanganyiko wa mnazi mrefu na mfupi. Huanza kuzaa mapema (miaka 3–4). Una tija kubwa kibiashara. Hutoa 120 – 200 nazi kwa mwaka kulingana na matunzo.
👉 Kumbuka: Sio kila mnazi ni mbegu ya biashara. Mbegu bora ya biashara ni ile inayozalisha mara kwa mara, ina matumizi mengi sokoni na inavumilia magonjwa. Chagua aina kulingana na uhitaji wa soko lako.
✅ JOACK COMPANY LTD tunakuletea mbegu bora kabisa za kisasa na kienyeji, zenye mavuno mengi na uwezo wa kustahimili magonjwa.
📍 Tunapatikana Mlandizi, na tunatuma mikoani kote.
✨ Karibu JOACK – Msingi wa Kilimo Bora na Uhakika wa Mavuno ✨
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
JOACK COMPANY tunakufikia popote ulipo Tanzania mpaka nje ya Tanzania kwa huduma za kitaalamu za ujenzi wa mabanda ya mifugo na ndege mbalimbali.
Tunatuma mafundi wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa kubuni na kutengeneza mabanda kulingana na mahitaji yako pamoja na material uliyonayo.
Mafundi wetu wana uwezo wa kutengeneza: ✅ Mabanda ya mbao ✅ Mabanda ya chuma ✅ Mabanda ya saruji (Cement)
Tunajenga mabanda kwa ajili ya: 🐔 Kuku 🦆 Bata 🕊️ Ndege na njiwa 🐄 Ng’ombe 🐐 Mbuzi 🐑 Kondoo 🐇 Sungura 🐕 Mbwa 🐈 Paka Na wanyama wengine mbalimbali.
Kwa nini uchague JOACK CONSTRUCTION TEAM? ✔️ Ubunifu wa kisasa wa mabanda ✔️ Mfumo mzuri wa hewa (Ventilation) ✔️ Mfumo bora wa usimamizi wa taka ✔️ Matumizi sahihi ya nafasi ✔️ Uimara na ubora wa muda mrefu ✔️ Ujenzi unaozingatia afya na usalama wa mifugo ✔️ Ushauri wa kitaalamu kabla na baada ya ujenzi
Tunajenga banda kulingana na: • Idadi ya mifugo • Eneo ulilonalo • Bajeti yako • Mfumo wa ufugaji unaotumia
Karibu sana JOACK CONSTRUCTION TEAM kwa huduma za kisasa, ubora wa uhakika na ushauri wa kitaalamu kwenye miradi yako ya mifugo.
Sema kwaheri kusubiri mafundi! JOACK tumekuletea suluhisho la uhakika kwa ufugaji wako. Hatutengenezi kwa kusubiri oda ya wiki mbili, hapa ni Lipa na Kuchukua hapo hapo!
Sifa za Mabanda Yetu: Ngazi Mbili (Double Layer): Huongeza nafasi ya kufugia hata kama eneo lako ni dogo.
Imara na Ya Kisasa: Yamejengwa kwa fremu imara, mbao bora, na wavu wa chuma (wire mesh) unaodumu.
Ni ya Kuhamishika (Mobile): Unaweza kuyasogeza au kuyahamisha kirahisi kulingana na mahitaji yako.
Usafi Rahisi: Yamesanifiwa kwa namna ambayo ni rahisi kusafisha na kuzuia magonjwa kwa mifugo.
Tayari kwa Kazi: Mabanda yote yamekamilika, kuanzia milango, sehemu za kulia chakula, na paa imara.
KWANINI UCHAGUE JOACK?
✅ Hakuna Kusubiri Oda: Usipoteze muda na ahadi za mafundi. Unakuja, unachagua unalotaka, unalipa, na kuondoka nalo.
✅ Ubora wa Viwango: Kila banda limekaguliwa na mafundi wetu kuhakikisha lina kidhi mahitaji ya kuku, sungura, au vifaranga.
✅ Bei Rafiki: Tunatoa thamani halisi ya pesa yako kwa vifaa bora zaidi sokoni.
JOACK MOBILE LIVESTOCK HOUSES Ufugaji wa Kisasa, Kurahisisha Kazi Yako! 🚀
- Wasiliana nasi ili kupata haya mabanda lakini pia utapewa na ushauri wa kitaalamu kuhusiana na ufugaji kibiashara, pia utapata fursa ya kuunganishwa na soko.
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Mifugo Tanzania
MABANDA YA MIFUGO YA KISASA KWA UFUGAJI WENYE TIJA
📞Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
📍Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo.
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Piga simu: +255 712 253 102
Tembelea: www.joack.co.tz
JOACK COMPANY LIMITED Transparency. Transformation. Technology
#ufugajiwakuku #mabandayakuku #mabandayamifugo ##banda #tanzania #dar #mwanza #kuku #mabandayamifugo #ufugaji
2 days ago | [YT] | 2
View 0 replies
Mifugo Tanzania
#Tanzania
#dar
#wafugaji
2 days ago | [YT] | 3
View 0 replies
Mifugo Tanzania
TUNAUZA DAWA MBALIMBALI ZA MIFUGO
Simu: +255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 692 430 263
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @mabandayamifugo @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackanimalfeeds
Dawa zetu zinasaidia kutibu na kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo kama:
● Kuhara (Diarrhea)
● Homa na maambukizi ya bakteria
● Minyoo ya ndani (Internal parasites)
● Magonjwa ya mfumo wa upumuaji (Respiratory diseases)
● Maambukizi ya ngozi (Skin infections)
● Magonjwa ya uzazi
● Maambukizi ya mkojo
● Vidonda na majeraha
● Coccidiosis
● Mastitis kwa ng’ombe wa maziwa
FAIDA ZA DAWA ZETU:
✔ Zinasaidia kupona haraka
✔ Huongeza afya na uzalishaji wa mifugo
✔ Zinapatikana kwa aina mbalimbali
✔ Ushauri wa kitaalamu bure
TUNAPATIKANA
1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo, karibu na kanisa la KKKT
maps.app.goo.gl/PsgwecjBYjpd4cow9?g_st=ac
2. Bagamoyo - Pwani
Kiromo shule, Bagamoyo Pwani
maps.app.goo.gl/atyhxFJkqzY8EzHa8?g_st=ac
3. Posta - Dar es salaam
Matasalamat building NHC Samora Avenue 2nd floor
maps.app.goo.gl/cMRwKkfKD6H1Ub4W9?g_st=ac
SIMU:
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 692 430 263
EMAIL:
info@joack.co.tz
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website: joack.co.tz/
JOACK COMPANY LTD – AFYA BORA KWA MIFUGO YAKO
#dawazamifugo #mifugo #kilimo #kilimotz #ufugaji #ngombe #mbuzi #kondoo #kuku #biasharatanzania #tanzania
5 days ago | [YT] | 5
View 0 replies
Mifugo Tanzania
TUNAUZA BATA MZINGA BORA KWA UFUGAJI NA BIASHARA
Unatafuta bata mzinga wenye afya na wanaokua kwa kasi?
JOACK COMPANY LIMITED tunakuletea bata mzinga bora wanaofaa kwa uzalishaji wa nyama na ufugaji wa kibiashara.
Huduma zetu:
Uuzaji wa bata mzinga wa rika mbalimbali
Bata mzinga wenye afya na waliotunzwa kitaalamu
Ushauri wa lishe bora na matunzo sahihi
Mwongozo wa ufugaji na uzalishaji wenye tija
Faida za kufuga bata mzinga:
Ukuaji wa haraka na uzito mkubwa
Soko zuri la nyama
Uzalishaji wenye faida kwa mfugaji
Chagua bata mzinga bora kwa ufugaji wenye mafanikio.
Wasiliana nasi sasa:
WhatsApp/Simu:
+255 712 25 31 02
+255 692 43 02 63
#JOACKCompanyLimited #BataMzinga #UfugajiWaBataMzinga #PoultryFarmingTZ #MifugoBora #KilimoNaMifugo #AgribusinessTZ
1 week ago | [YT] | 1
View 0 replies
Mifugo Tanzania
JOACK: MABANDA YA KISASA YA KUHAMISHIKA (MOBILE CAGES) 🐣🏢
Call/Text/WhatsApp: +255 3712 253 102
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackanimalclinic
Sema kwaheri kusubiri mafundi! JOACK tumekuletea suluhisho la uhakika kwa ufugaji wako. Hatutengenezi kwa kusubiri oda ya wiki mbili, hapa ni Lipa na Kuchukua hapo hapo!
Sifa za Mabanda Yetu:
Ngazi Mbili (Double Layer):
Huongeza nafasi ya kufugia hata kama eneo lako ni dogo.
Imara na Ya Kisasa:
Yamejengwa kwa fremu imara, mbao bora, na wavu wa chuma (wire mesh) unaodumu.
Ni ya Kuhamishika (Mobile):
Unaweza kuyasogeza au kuyahamisha kirahisi kulingana na mahitaji yako.
Usafi Rahisi:
Yamesanifiwa kwa namna ambayo ni rahisi kusafisha na kuzuia magonjwa kwa mifugo.
Tayari kwa Kazi:
Mabanda yote yamekamilika, kuanzia milango, sehemu za kulia chakula, na paa imara.
KWANINI UCHAGUE JOACK?
✅ Hakuna Kusubiri Oda:
Usipoteze muda na ahadi za mafundi. Unakuja, unachagua unalotaka, unalipa, na kuondoka nalo.
✅ Ubora wa Viwango:
Kila banda limekaguliwa na mafundi wetu kuhakikisha lina kidhi mahitaji ya kuku, sungura, au vifaranga.
✅ Bei Rafiki:
Tunatoa thamani halisi ya pesa yako kwa vifaa bora zaidi sokoni.
JOACK MOBILE LIVESTOCK HOUSES
Ufugaji wa Kisasa, Kurahisisha Kazi Yako! 🚀
- Wasiliana nasi ili kupata haya mabanda lakini pia utapewa na ushauri wa kitaalamu kuhusiana na ufugaji kibiashara, pia utapata fursa ya kuunganishwa na soko.
#mabandayakuku #mabandayamifugo #ufugaji mabandayakuhamishika kilimobiashara poultryhouse ujenziwamabanda mabandayakukuyanauzwa tunauzamabanda mabandayambao
TUNAPATIKANA
WAZO - DAR ES SALAAM (@TegetaWazohill) Barabara ya kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda.
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
info@joack.co.tz
Website link: joack.co.tz/
joackcompany mifugo mifugotz kilimotz kilimo ufugaji kuku broiler tanzania mifugozazibar kukuchotara kukuwakienyeji dodoma tanzania morogoro dodoma tanzania🇹🇿
JOACK MOVABLE LIVESTOCK HOUSES....
1 week ago | [YT] | 0
View 0 replies
Mifugo Tanzania
🌴 JOACK WAZALISHAJI WA MICHE YA MINAZI MIFUPI YA KISASA TANZANIA 🌴
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Kabla hujapanda mnazi shambani au nyumbani kwako, ni muhimu kufahamu aina zake, faida zake, na wastani wa mavuno yake:
1️⃣ Mnazi mrefu / wa asili (East African Tall)
Huanza kuzaa baada ya miaka 6–8.
Unaishi miaka mingi (zaidi ya 60).
Hutoa 70 – 100 nazi kwa mwaka.
2️⃣ Mnazi mfupi wa Kipemba (Malaysian Yellow Dwarf)
Huanza kuzaa mapema (miaka 3–4).
Una maisha ya kati (miaka 30–40).
Hutoa 80 – 120 nazi kwa mwaka.
3️⃣ Mnazi Chotara (Hybrid)
Ni mchanganyiko wa mnazi mrefu na mfupi.
Huanza kuzaa mapema (miaka 3–4).
Una tija kubwa kibiashara.
Hutoa 120 – 200 nazi kwa mwaka kulingana na matunzo.
👉 Kumbuka:
Sio kila mnazi ni mbegu ya biashara. Mbegu bora ya biashara ni ile inayozalisha mara kwa mara, ina matumizi mengi sokoni na inavumilia magonjwa. Chagua aina kulingana na uhitaji wa soko lako.
✅ JOACK COMPANY LTD tunakuletea mbegu bora kabisa za kisasa na kienyeji, zenye mavuno mengi na uwezo wa kustahimili magonjwa.
📍 Tunapatikana Mlandizi, na tunatuma mikoani kote.
✨ Karibu JOACK – Msingi wa Kilimo Bora na Uhakika wa Mavuno ✨
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
info@joack.co.tz
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: joack.co.tz/
Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joackcompany #wafugaji #mifugo #wakulima kilimo bukoba tanzania biashara mahindi singida daressalaam tanzania arusha kahama dodoma tanzania🇹🇿 musoma
Welcome JOACK KILIMO * JOACK MIFUGO
1 month ago | [YT] | 3
View 0 replies
Mifugo Tanzania
TUPIGIE SIMU MAFUNDI WETU NAKUFIKIA MKOA WOWOTE ULIPO | JOACK CONSTRUCTION TEAM 🏗️
Call Text WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
JOACK COMPANY tunakufikia popote ulipo Tanzania mpaka nje ya Tanzania kwa huduma za kitaalamu za ujenzi wa mabanda ya mifugo na ndege mbalimbali.
Tunatuma mafundi wenye uzoefu mkubwa na uwezo wa kubuni na kutengeneza mabanda kulingana na mahitaji yako pamoja na material uliyonayo.
Mafundi wetu wana uwezo wa kutengeneza:
✅ Mabanda ya mbao
✅ Mabanda ya chuma
✅ Mabanda ya saruji (Cement)
Tunajenga mabanda kwa ajili ya:
🐔 Kuku
🦆 Bata
🕊️ Ndege na njiwa
🐄 Ng’ombe
🐐 Mbuzi
🐑 Kondoo
🐇 Sungura
🐕 Mbwa
🐈 Paka
Na wanyama wengine mbalimbali.
Kwa nini uchague JOACK CONSTRUCTION TEAM?
✔️ Ubunifu wa kisasa wa mabanda
✔️ Mfumo mzuri wa hewa (Ventilation)
✔️ Mfumo bora wa usimamizi wa taka
✔️ Matumizi sahihi ya nafasi
✔️ Uimara na ubora wa muda mrefu
✔️ Ujenzi unaozingatia afya na usalama wa mifugo
✔️ Ushauri wa kitaalamu kabla na baada ya ujenzi
Tunajenga banda kulingana na:
• Idadi ya mifugo
• Eneo ulilonalo
• Bajeti yako
• Mfumo wa ufugaji unaotumia
Karibu sana JOACK CONSTRUCTION TEAM kwa huduma za kisasa, ubora wa uhakika na ushauri wa kitaalamu kwenye miradi yako ya mifugo.
TUNAPATIKANA:
Wazo Hill - Dar es Salaam
Tegeta Wazo Hill Barabara ya Wazo, karibu na kanisa la KKKT.
Google location: maps.app.goo.gl/PsgwecjBYjpd4cow9?g_st=ac
Bagamoyo - Pwani
Kiromo Shule, Bagamoyo Pwani.
Google location: maps.app.goo.gl/atyhxFJkqzY8EzHa8?g_st=ac
Posta - Dar es Salaam
Matasalamat Building, NHC Samora Avenue, 2nd Floor.
Google location: maps.app.goo.gl/cMRwKkfKD6H1Ub4W9?g_st=ac
WhatsApp / Simu:
+255 712 253 102
+255 692 430 263
Email;
info@joack.co.tz / joackcompany@gmail.com
#mabandayamifugo #joackmabanda #mabandayakuku
1 month ago | [YT] | 2
View 0 replies
Mifugo Tanzania
MABANDA YA MIFUGO YA KISASA KWA UFUGAJI WENYE TIJA
📞Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
📍Ofisi zetu zipo: Dar es salaam na Bagamoyo.
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku
Piga simu: +255 712 253 102
Tembelea: www.joack.co.tz
JOACK COMPANY LIMITED Transparency. Transformation. Technology
#ufugajiwakuku #mabandayakuku #mabandayamifugo
1 month ago | [YT] | 8
View 0 replies
Mifugo Tanzania
JOACK: MABANDA YA KISASA YA KUHAMISHIKA (MOBILE CAGES) 🐣🏢
Call/Text/WhatsApp: +255 3712 253 102
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackanimalclinic
Sema kwaheri kusubiri mafundi! JOACK tumekuletea suluhisho la uhakika kwa ufugaji wako. Hatutengenezi kwa kusubiri oda ya wiki mbili, hapa ni Lipa na Kuchukua hapo hapo!
Sifa za Mabanda Yetu:
Ngazi Mbili (Double Layer):
Huongeza nafasi ya kufugia hata kama eneo lako ni dogo.
Imara na Ya Kisasa:
Yamejengwa kwa fremu imara, mbao bora, na wavu wa chuma (wire mesh) unaodumu.
Ni ya Kuhamishika (Mobile):
Unaweza kuyasogeza au kuyahamisha kirahisi kulingana na mahitaji yako.
Usafi Rahisi:
Yamesanifiwa kwa namna ambayo ni rahisi kusafisha na kuzuia magonjwa kwa mifugo.
Tayari kwa Kazi:
Mabanda yote yamekamilika, kuanzia milango, sehemu za kulia chakula, na paa imara.
KWANINI UCHAGUE JOACK?
✅ Hakuna Kusubiri Oda:
Usipoteze muda na ahadi za mafundi. Unakuja, unachagua unalotaka, unalipa, na kuondoka nalo.
✅ Ubora wa Viwango:
Kila banda limekaguliwa na mafundi wetu kuhakikisha lina kidhi mahitaji ya kuku, sungura, au vifaranga.
✅ Bei Rafiki:
Tunatoa thamani halisi ya pesa yako kwa vifaa bora zaidi sokoni.
JOACK MOBILE LIVESTOCK HOUSES
Ufugaji wa Kisasa, Kurahisisha Kazi Yako! 🚀
- Wasiliana nasi ili kupata haya mabanda lakini pia utapewa na ushauri wa kitaalamu kuhusiana na ufugaji kibiashara, pia utapata fursa ya kuunganishwa na soko.
#mabandayakuku #mabandayamifugo #ufugaji mabandayakuhamishika kilimobiashara poultryhouse ujenziwamabanda mabandayakukuyanauzwa tunauzamabanda mabandayambao
TUNAPATIKANA
WAZO - DAR ES SALAAM (@TegetaWazohill) Barabara ya kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda.
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
info@joack.co.tz
Website link: joack.co.tz/
joackcompany mifugo mifugotz kilimotz kilimo ufugaji kuku broiler tanzania mifugozazibar kukuchotara kukuwakienyeji dodoma tanzania morogoro dodoma tanzania🇹🇿
JOACK MOVABLE LIVESTOCK HOUSES....
1 month ago | [YT] | 2
View 0 replies
Mifugo Tanzania
LIPA NA KUCHUKUA KEJI ZA KUKU WA MAYAI✨️
ZIPO ZA MBAO NA ZA CHUMA ✅️
ZINA MIFUMO YOTE YA MAJI NA CHAKULA ✅️
DELIVERY POPOTE ULIPO 🚜
Call/WhatsApp/Text: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackanimalclinic @joackagrovet @joackbagamoyo
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku
Aina za cage:
Zipo cage za kuku 100 hadi 200 Kwa bei yai 750,000 tu, tunakuwekea kila kitu hadi mifumo ya chakula na maji.
Pia ukiitaji keji za kuku wengi au wachache pia tunatengeneza kulingana na mahitaji ya mteja.
Umuhimu wa kutumia cages na automatic feed/water system kwa ufugaji wa kuku.
1. Kuzuia upotevu wa chakula -Kupunguza gharama ya uendeshaji
2. Kuondoa hatari yamaambukizi ya magonjwa
3. Kupunguza idadi ya watumishi shambani
4. Kuwezesha kufuga kuku wengi katika eneo dogo
5. Systems zote za cages na feed/water ni scientifically approved
#poultrycage #cagezakuku #kukuwamayai #mayai #kuku poultrycage kejizakuku kuku kukuchotara chotara layers kukuwalayers sasso kuroiler kejizambao kukuwanyama kukuwamayai kukuwakisasa vifaranga
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
mifugotz@gmail.com
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: joackcompany.business.site/
Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
mifugo mifugotz kilimotz kilimo ufugaji kuku broiler tanzania dodoma tanzania morogoro
https://youtu.be/KUBa5dhhEUE
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
2 months ago | [YT] | 4
View 1 reply
Load more