KARIBU KWA MJENZI WA NYUMBA TZ
Tunatoa elimu ya ujenzi, usanifu wa nyumba, BOQ (makadirio ya gharama), usimamizi wa miradi na ushauri wa kitaalamu kwa wanaojenga au wanaopanga kujenga.
HUDUMA ZETU:
✅ Ramani za Nyumba za Kawaida na Ghorofa
✅ Ramani za Guest House, Hoteli, Makanisa na Kumbi
✅ Ramani za Maduka na Majengo ya Biashara
✅ Michoro ya Structural
✅ BOQ (Makadirio ya Gharama)
✅ Usimamizi wa Ujenzi
✅ Ujenzi Kuanzia Msingi hadi Kukabidhi Funguo ✅ Ushauri wa Kitaalamu wa Ujenzi
Lengo letu ni kukusaidia kujenga kwa usahihi, kupunguza gharama zisizo za lazima na kupata jengo lenye ubora wa kudumu.
📞 Simu: +255 712 937 090
💬 WhatsApp: +255 765 937 090
📧 info@mjenziwanyumbatz.com
🌐 www.mjenziwanyumbatz.com
🏠 MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba Bora Hujengwa na Fundi Bora."
MJENZI WA NYUMBA TZ
RAMANI YA NYUMBA YA GHOROFA MOJA — DESIGN YA KISASA!
Nambari ya Ramani: MNT 040925
"Je, unatafuta nyumba ya ghorofa yenye ubora wa kisasa, nafasi ya kutosha, na muundo unaokidhi mahitaji ya familia yako yote?"
Basi — ramani hii nimekuandalia wewe! 🎯
📐 VIPIMO VYA NYUMBA:
✔ Urefu: Mita 13.1
✔ Upana: Mita 9
✔ Kiwanja: Mita 15 × 20 au zaidi
🏡 GHOROFA YA CHINI (Ground Floor):
✔ Sebule — nafasi nzuri ya kukaa na familia
✔ Jiko — iliyopangwa kwa ufanisi
✔ Dining Room — nafasi ya kula pamoja
✔ Store — kuhifadhi vitu vya nyumbani
✔ Laundry — nafasi maalumu ya kufua
✔ Choo cha Familia
✔ Chumba 1 — kwa wageni au mzazi
✔ Veranda ya Mbele — ukaribisho wa hadhi
✔ Mlango wa Mbele — kuingilia sebuleni
✔ Mlango wa Nyuma — kuingilia jikoni
🌟 GHOROFA YA JUU (Upper Floor):
✔ Master Bedroom yenye:
— Dressing Room — chumba cha nguo
✔ Vyumba 2
✔️ Choo cha public
✔ Veranda ya Juu — ni kubwa kama sebule ya nje mukae mkifurahia mandhari na upepo mwanana
✨ SIFA ZA KIPEKEE ZA RAMANI HII:
✔ Mpangilio bora wa nafasi kwa familia nzima
✔ Faragha kamili kwa kila mwanafamilia
✔ Muundo wa kisasa wenye hadhi nzuri
✔ Madirisha ni makubwa ili kuruhusu Mwanga wa asili unaoingia vizuri
✔ Uingizaji hewa bora kupitia veranda na balcony
✔ Thamani ya juu ya nyumba sokoni
📲 UMEPENDA RAMANI HII?
Wasiliana nasi SASA HIVI na utaje:
👉 Nambari ya Ramani: MNT 040925
⚠️ Tunafanya biashara — sigawi bure.
Lakini tunakuhakikishia ubora wa hali ya juu kwa kila shilingi unayolipa.
Kwa maelezo zaidi gusa link https://youtu.be/avEItwz3ScU
📞 Simu: +255 712 937 090
💬 WhatsApp: wa.me/255765937090
📧 Barua pepe: info@mjenziwanyumbatz.com
MJENZI WA NYUMBA TZ
Nyumba bora hujengwa na fundi bora.
#MjenziWaNyumbaTZ #RamaniZaNyumba #MNT240226 #NyumbaYaGhorofa #DesignYaKisasa
3 hours ago | [YT] | 0
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
Wengi huona nyumba iliyokamilika, lakini hawajui inaanza na wazo sahihi, ramani sahihi, na ushauri wa kitaalamu.
Mjenzi wa Nyumba TZ tupo kukusaidia kuanzia hatua ya kwanza hadi mwisho wa ujenzi. Tunakupa huduma za kitaalamu zinazokuwezesha kujenga kwa usahihi, kuokoa gharama zisizo za lazima, na kupata nyumba au mradi wenye ubora wa kudumu.
Huduma zetu ni pamoja na: • Kuchora ramani za nyumba za kisasa • Ramani za ghorofa, Guest House, Airbnb, shule, makanisa na majengo ya biashara • Michoro ya Structural • BOQ (Makadirio ya gharama za ujenzi) • Ushauri wa kitaalamu wa ujenzi • Usimamizi wa miradi ya ujenzi • Ujenzi kuanzia msingi hadi kukabidhi funguo
Kumbuka, gharama ndogo ya kupanga vizuri kabla ya ujenzi inaweza kukuokoa mamilioni ya shilingi wakati wa utekelezaji wa mradi.
Mjenzi wa Nyumba TZ
"Nyumba Bora Hujengwa na Fundi Bora."
Simu: +255 712 937 090
WhatsApp: wa.me/255765937090
Website: mjenziwanyumbatz.com/
YouTube: youtube.com/@mjenziwanyumbatz
1 week ago | [YT] | 3
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
Mjenzi wa Nyumba Tz ni Nani, na Kwa Nini Watu Wengi Wanazidi Kumuamini?
Mjenzi wa Nyumba Tz si kampuni ya kuuza ramani pekee. Ni jukwaa la elimu na huduma za kitaalamu za ujenzi linalolenga kuwasaidia Watanzania kujenga kwa usahihi, kupunguza makosa na kutumia fedha zao kwa ufanisi.
Kwa miaka ya hivi karibuni, watu wengi wamekuwa wakifuatilia maudhui ya Mjenzi wa Nyumba Tz kwa sababu yanajikita kwenye uhalisia wa ujenzi wa Tanzania. Elimu inayotolewa inalenga kumsaidia mtu anayejenga kwa mara ya kwanza, mwekezaji, fundi, mwanafunzi wa ujenzi na kila anayehitaji kuelewa mchakato wa ujenzi.
Lengo kuu ni kuwafanya watu wajenge kwa maarifa badala ya kubahatisha. Ndiyo maana mada nyingi zinazotolewa zinahusu kupanga bajeti, kuchagua vifaa bora, kusoma ramani, kusimamia mafundi na kufanya maamuzi sahihi kabla ya kuanza ujenzi.
Mbali na kutoa elimu, Mjenzi wa Nyumba Tz pia hutoa huduma za kitaalamu za:
Kuchora ramani za nyumba za kisasa
Ramani za ghorofa
Ramani za Guest House
Ramani za makanisa
Ramani za kumbi
Ramani za hoteli
Michoro ya Structural
BOQ (Makadirio ya gharama za ujenzi)
Usimamizi wa ujenzi
Ujenzi kuanzia msingi hadi kukabidhi funguo
Ushauri wa kitaalamu kuhusu ujenzi na uwekezaji wa majengo
Lengo letu ni kuhakikisha kila mteja anapata ramani bora, ushauri sahihi na jengo linalokidhi viwango vya kitaalamu pamoja na mahitaji yake.
Kwa ushauri au huduma zetu, wasiliana nasi:
Simu: +255 712 937 090
WhatsApp: +255 765 937 090
Email: info@mjenziwanyumbatz.com
Website: mjenziwanyumbatz.com
MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba Bora Hujengwa na Fundi Bora."
1 week ago | [YT] | 3
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
UNATAFUTA RAMANI BORA NA UJENZI WA VIWANGO VYA JUU?
Karibu MJENZI WA NYUMBA TZ — Mshirika wako wa uhakika katika usanifu, ujenzi na usimamizi wa miradi yote ya ujenzi nchini Tanzania.
Tunatengeneza ndoto yako kuwa uhalisia kupitia huduma zetu za kitaalamu:
✅ Ramani za Kisasa za Nyumba na Majengo
Michoro yenye ubunifu wa hali ya juu na wa kimataifa, inayokidhi viwango vya ujenzi na kupata vibali kwa urahisi.
✅ Ujenzi wa Viwango vya Juu
Tunajenga nyumba za makazi (villas & apartments), majengo ya biashara, hoteli, guest house, makanisa na kumbi.
✅ Usimamizi wa Kitaalamu wa Miradi (Project Management)
Tunakusaidia kuhakikisha mradi wako unakamilika kwa ubora wa hali ya juu, kwa wakati, na kwa kuzingatia bajeti na gharama zilizopangwa (BOQ).
✅ Ushauri wa Kitaalamu kuhusu uchaguzi wa ramani, makadirio ya gharama, uchaguzi wa vifaa imara na mbinu bora za kisasa za ujenzi.
📲 Wasiliana nasi leo kuanza mradi wako:
📞 Simu +255712937090
💬 WhatsApp: +255765937090
📧 Barua Pepe: info@mjenziwanyumbatz.com
🏠 MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba Bora Hujengwa na Fundi Bora."
2 weeks ago | [YT] | 3
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
🏨 RAMANI YA GUEST HOUSE YA KISASA – FURSA BORA YA UWEKEZAJI
Kama unapanga kuanzisha Guest House yenye muonekano wa kisasa, mpangilio mzuri wa vyumba na matumizi bora ya kiwanja, basi ramani hii inaweza kuwa chaguo sahihi kwa mradi wako.
📌 Ramani Namba: MNT 200526
Muundo huu umeandaliwa kwa kuzingatia mahitaji ya biashara ya malazi ya kisasa, faraja ya wageni na urahisi wa uendeshaji wa shughuli za kila siku.
✅ Vinavyopatikana kwenye ramani hii:
• Vyumba 17 vya kulala, vyote vikiwa Self-Contained
• Reception na Waiting Area yenye muonekano wa kuvutia
• Maliwato ya wageni (Public Toilets)
• Chumba cha Laundry kwa ajili ya usafi wa mashuka na huduma nyingine muhimu
📐 Vipimo vya Jengo
• Upana: Mita 21.6
• Urefu: Mita 22.7
Ramani hii inafaa kujengwa kwenye kiwanja cha kuanzia mita 30 × 30 au zaidi.
📁 Unapopata ramani hii utapokea:
✅ Michoro kamili ya Architectural
✅ Ramani inayokidhi vigezo vya kupata kibali cha ujenzi
✅ Softcopy (PDF) inayotumwa kupitia WhatsApp au Email
🏗️ HUDUMA ZETU
• Ramani za Nyumba za Kawaida
• Ramani za Ghorofa
• Ramani za Guest House
• Ramani za Hoteli
• Ramani za Kumbi
• Ramani za Makanisa
• Michoro ya Structural
• BOQ (Makadirio ya Gharama)
• Usimamizi wa Ujenzi
• Ujenzi Kuanzia Msingi Hadi Kukabidhi Funguo
• Ushauri wa Kitaalamu wa Ujenzi na Uwekezaji wa Majengo
📞 Simu: +255 712 937 090
📲 WhatsApp: wa.me/255765937090
📧 Email: info@mjenziwanyumbatz.com
🌐 Website: mjenziwanyumbatz.com/
MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba bora hujengwa na fundi bora."
3 weeks ago | [YT] | 8
View 2 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
UNAHITAJI RAMANI AU HUDUMA ZA UJENZI?
Karibu MJENZI WA NYUMBA TZ.
Tunatoa huduma za:
✅ Ramani za Nyumba za Kawaida
✅ Ramani za Ghorofa
✅ Ramani za Guest House
✅ Ramani za Makanisa
✅ Ramani za Kumbi
✅ Michoro ya Structural
✅ BOQ (Makadirio ya Gharama)
✅ Usimamizi wa Ujenzi
✅ Ujenzi Kuanzia Msingi Hadi Kukabidhi Funguo
📞 Simu: +255 712 937 090
📲 WhatsApp: wa.me/255765937090
📧 Email: info@mjenziwanyumbatz.com
MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba bora hujengwa na fundi bora."
3 weeks ago | [YT] | 5
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
JE, UNAWAZA KUJENGA GHOROFA? HAYA NDIYO MAHITAJI YA BOMA YANAYOWASHITUA WENGI!
Watu wengi huota kujenga ghorofa, lakini wachache wanajua vifaa vinavyohitajika kabla ya kufikia hatua ya kupaua. Ikiwa unapanga kujenga ghorofa ya vyumba 3, 4 au 5, fahamu mahitaji haya mapema ili ujipange vizuri kifedha.
📋 MAHITAJI YA BOMA (STRUCTURE)
🔹 NONDO ZA UHAKIKA
✔ Nondo mm 8 — Tani 1.5
✔ Nondo mm 12 — Tani 4
✔ Nondo mm 16 — Tani 2.5
✔ Binding Wire — Roli 2
🔹 VIFAA VYA UJENZI
✔ Tofali — Piece 5,500
✔ Saruji — Mifuko 550
✔ Kokoto Nyeusi (1/4) — M³ 70
✔ Mchanga Safi — M³ 120
🔹 FORMWORK NA MBAO
✔ Marine Boards — Piece 220
✔ Mbao 2×4 — Piece 250
✔ Mbao 2×2 — Piece 200
✔ Milunda — Piece 300
🔹 MISUMARI
✔ Misumari 3" — Kg 100
✔ Misumari 4" — Kg 180
💡 MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
✅ Haya ni makadirio ya boma pekee (bila bati na finishing).
✅ Ukiona unaweza kuandaa vifaa hivi, basi ndoto yako ya kujenga ghorofa ipo karibu kutimia.
✅ Bei za vifaa hubadilika kulingana na soko, hivyo pata makadirio sahihi kabla ya kuanza.
✅ Ujenzi bora huanza na ramani bora, usimamizi bora na vifaa bora.
⚠️ Kumbuka: Kununua vifaa ni hatua moja, lakini kupata ramani sahihi na usimamizi wa kitaalamu ndiyo siri ya kujenga ghorofa salama, imara na yenye thamani ya kudumu.
🏗️ HUDUMA ZETU — MJENZI WA NYUMBA TZ
✅ Ramani za Nyumba za Kawaida
✅ Ramani za Nyumba za Ghorofa
✅ Ramani za Guest House
✅ Ramani za Makanisa
✅ Ramani za Kumbi na Ukumbi wa Harusi
✅ Michoro ya Structural
✅ BOQ (Makadirio Sahihi ya Gharama)
✅ Usimamizi wa Ujenzi
✅ Ujenzi Kuanzia Msingi hadi Kukabidhi Funguo
✅ Ushauri wa Kitaalamu wa Ujenzi na Uwekezaji wa Majengo
📌 Tazama maelezo zaidi:
https://youtu.be/_B25zVIVwW0
📌 Angalia ramani mbalimbali zilizopo tayari:
wa.me/c/255765937090
📞 Simu: +255 712 937 090
🟢 WhatsApp: +255 765 937 090
📧 Email: info@mjenziwanyumbatz.com
🌐 Website: mjenziwanyumbatz.com
🏠 MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba Bora Hujengwa na Fundi Bora."
3 weeks ago | [YT] | 12
View 2 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
RAMANI YA UKUMBI WA KISASA WA KIMATAIFA — UWEZO WA ZAIDI YA WATU 500!
Je, unatafuta ramani ya ukumbi wa kisasa kwa ajili ya harusi, mikutano, semina, ibada, au matukio makubwa ya kijamii?
MJENZI WA NYUMBA TZ imekuandalia ramani ya ukumbi wa kisasa wenye muonekano wa kuvutia, matumizi bora ya nafasi, na unaokidhi viwango vya kisasa vya usanifu na usalama.
🎯 Lengo letu ni kuhakikisha unapata ramani bora, salama, yenye mvuto wa kibiashara, na inayokidhi vigezo vya kupata kibali cha ujenzi kutoka mamlaka husika.
🏛️ MUUNDO WA UKUMBI
✅ Ukumbi mkubwa wenye uwezo wa kuchukua zaidi ya watu 500 wakiwa wamekaa kwa utaratibu.
✅ Vyumba maalumu vya kubadilishia nguo kwa wanaume na wanawake.
✅ Ofisi ya usimamizi wa shughuli za ukumbi.
✅ Vyoo maalumu vya wageni waalikwa (VIP).
✅ Vyoo vya kutosha kwa wageni wa kike na wa kiume.
✅ Chumba maalumu cha huduma za dharura (First Aid Room).
✅ Stoo ya kuhifadhia vifaa.
✅ Mini Supermarket au sehemu ya huduma za biashara.
✅ Sehemu za mapokezi na huduma nyingine muhimu kwa uendeshaji wa ukumbi wa kisasa.
📏 VIPIMO VYA MRADI
✔ Urefu wa Jengo: Meta 42
✔ Upana wa Jengo: Meta 36
✔ Ukubwa wa Kiwanja Unaopendekezwa: Meta 50 × 50 au zaidi
📩 JINSI YA KUPATA RAMANI
✔ Wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp.
✔ Tunakutumia ramani popote ulipo Tanzania.
✔ Ramani imeandaliwa kwa kuzingatia viwango vya kitaalamu vya usanifu na ujenzi.
✔ Inafaa kwa wawekezaji, taasisi, makanisa, kampuni, na watu binafsi wanaotaka kujenga ukumbi wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa.
HUDUMA ZETU
✅ Ramani za Nyumba za Kawaida
✅ Ramani za Nyumba za Ghorofa
✅ Ramani za Guest House
✅ Ramani za Makanisa
✅ Ramani za Kumbi za Harusi na Mikutano
✅ Michoro ya Structural
✅ BOQ (Makadirio Sahihi ya Gharama)
✅ Usimamizi wa Ujenzi
✅ Ujenzi Kamili Kuanzia Msingi Hadi Kukabidhi Funguo
✅ Ushauri wa Kitaalamu wa Ujenzi na Uwekezaji wa Majengo
Ili kuona Ramani zaidi gusa link wa.me/c/255765937090
📲 WASILIANA NASI SASA:
📞 Simu: +255 712 937 090
💬 WhatsApp: +255 765 937 090
📧 Barua Pepe: info@mjenziwanyumbatz.com
📍 Dar es Salaam, Tanzania
MJENZI WA NYUMBA TZ
"Nyumba Bora Hujengwa na Fundi Bora"
Tunageuza mawazo yako kuwa michoro bora na majengo yenye thamani ya kudumu.
1 month ago | [YT] | 6
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
KWA WADAU WANGU WOTE!
Kila siku — asubuhi na jioni — ninawapa elimu ya ujenzi bila malipo yoyote.
Elimu hii inachukua muda, nguvu, na utaalamu wa miaka mingi —
Na ninafanya kwa moyo wote kwa sababu nawapenda.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
🙏 OMBI MOJA TU KWENU:
Kama elimu hii imekusaidia —
Kama umejifunza kitu —
Kama unataka kujenga nyumba yako —
Nisaidie kwa kununua RAMANI yangu.
Ramani yangu itakusaidia:
✔ Kupata kibali cha ujenzi haraka
✔ Kujenga kwa vipimo sahihi
✔ Kuokoa pesa na muda mkubwa
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
💰 Bei zinaanzia bei nafuu —
📲 Wasiliana nasi ujue bei ya ramani inayokufaa:
📞 +255 712 937 090
💬 wa.me/255765937090
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
"Elimu ninayoitoa ni ya bure —
Ramani ninayoiuza ndiyo inayoniwezesha kuendeleza gharama za masomo."
MJENZI WA NYUMBA TZ
Nyumba bora hujengwa na fundi bora
1 month ago | [YT] | 9
View 0 replies
MJENZI WA NYUMBA TZ
RAMANI YA KISASA NYUMBA YA VYUMBA VITATU — MJENZI WA NYUMBA TZ!
Imekuletea Ramani ya kisasa yenye muonekano wa kuvutia na mpangilio unaozingatia mahitaji ya familia ya kisasa.
🎯 Lengo letu: Kuhakikisha unapata ramani bora, salama, na inayokidhi vigezo vya kupata kibali cha ujenzi.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
🏠 MUUNDO WA NYUMBA (Three Bedrooms):
✔ Master Bedroom ina Dressing room — yenye faragha kamili
✔ Vyumba 2 vya kulala vyote ni self contena
✔ Sebule kubwa ya familia
✔ Dining Room
✔ Jiko lenye nafasi ya kutosha
✔ Choo cha Familia (Public Toilet)
✔ Stoo ya ndani
✔️ Veranda 3
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📏 VIPIMO VYA NYUMBA:
✔ Urefu: 14.6 m
✔ Upana: 13.6 m
✔ Kiwanja: Mita 20 × 20 au zaidi
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
🧱 MAKADIRIO YA VIFAA:
✔ Saruji (Cement) — Mifuko 180
✔ Tofali (Blocks) — 6,200
✔ Nondo mm 12 — Rola 65
✔ Mchanga — Tipa 4
✔ Kokoto — Tipa 1
✔ Mabati Futi 10 — PC 170
⚠️ Makadirio haya ni ya msingi sana — yanaweza kubadilika kulingana na eneo na aina ya udongo wa kiwanja chako.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📩 JINSI YA KUPATA RAMANI:
✔ Wasiliana nasi kupitia simu au WhatsApp
✔ Ramani itakufikia popote ulipo Tanzania — haraka na salama
✔ Imeandaliwa kwa vigezo vya kupata kibali cha ujenzi kutoka halmashauri yoyote
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
🏗️ HUDUMA ZETU:
✅ Michoro ya Kisasa — Architectural na Structural
✅ BOQ — Makadirio Sahihi ya Gharama
✅ Usimamizi wa Ujenzi
✅ Ujenzi Kamili — Msingi hadi umariziaji
✅ Ushauri wa Kitaalamu
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📲 WASILIANA NASI SASA:
📞 Simu: +255 712 937 090
💬 WhatsApp: wa.me/255765937090
📧 Email: info@mjenziwanyumbatz.com
📍 Dar es Salaam, Tanzania
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
"Nyumba bora hujengwa na fundi bora." 🏠
MJENZI WA NYUMBA TZ
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
#MjenziWaNyumbaTZ #RamaniZaNyumba #ThreeBedrooms #NyumbaYaKisasa #UjenziTanzania #JengaKwaUhakika #ArchitecturalDesign #NyumbaBora #KibaluChaUjenzi #TanzaniaConstruction
1 month ago | [YT] | 7
View 0 replies
Load more