WASAFIRI VOICE TV

"KARIBU KWENYE WASAFIRI VOICE TV, chanzo chako cha maudhui ya kiroho, maarifa ya kibiblia, na suluhisho zinazoleta matumaini na mabadiliko chanya katika maisha ya watu. Tunalenga kukuza imani, kujenga familia na jamii, na kutoa mwongozo thabiti kwa wote."