Nilikuwa nikisikia mengi kuhusu Mara. Hasa Tarime. "Kanda maalum," watu wakali. Nilifika kwa mara ya kwanza nikiwa na picha hiyo kichwani na uoga kidogo...
Udhaniavyo ndivyo kumbe sivyo :)
Nimetembelea Musoma, Tarime na Bunda - mandhari, soko, watu, chakula. Video mpya iko hewani sasa.
Je, umewahi kufika Mara? Ilikuwa kama ulivyotegemea? π
You drink coffee. You read. Or pretend to read as you admire the sea and wonder how far it goes. You invite intrusive thoughts while at it (IYKYK). Then you go back to actually reading and drinking your now cold coffee, because you left it alone for too long. But you donβt want to give it up.
You admire the sunset. You think about how grateful you are to be part of nature.
You pay your bill and go back to your little home that you love so much. You go to bed. The end π€£β¨οΈ
Anyway, my current book is interesting. It is changing how I see marketing. It is more than just selling. It is a way of understanding the world better.
I have a new video up. Would appreciate some love. Have a beautiful evening β¨οΈ
You guys I am in south Africa at the moment... napenda kujua mngependa kuona video gani au mngependa kujua nini kuhusu Johannesburg.. ? Share with me... β€β€β€
Unafahamu historia ya mkoa wa Dodoma ambao ni mji mkuu wa #Tanzania? Katika video ya leo nashare nanyi historia fupi tu ya mkoa huu ulio katikati ya Tanzania ππ.
Jane Shussa

https://youtu.be/cvjz4edX1jA
1 month ago | [YT] | 3
View 0 replies
Jane Shussa
You sit by the sea.

3 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Jane Shussa
I hope your tea tastes better today π΅π
I just shared a new video from my home village.
Life at home, ordinary days, and slowing down in a way that stays with me.
What does home mean to you?
5 months ago | [YT] | 1
View 0 replies
Jane Shussa
You guys I am in south Africa at the moment... napenda kujua mngependa kuona video gani au mngependa kujua nini kuhusu Johannesburg.. ? Share with me... β€β€β€
But here is a new video... flying kutoka Tanzania kwenda Johannesburg.
https://youtu.be/LkcIv_IPAmA
6 years ago (edited) | [YT] | 3
View 1 reply
Jane Shussa
Unafahamu historia ya mkoa wa Dodoma ambao ni mji mkuu wa #Tanzania? Katika video ya leo nashare nanyi historia fupi tu ya mkoa huu ulio katikati ya Tanzania ππ.
Share na marafiki lakini pia usisahau kucomment kitu unachokifahamu kuhusu Dodoma https://youtu.be/HT24m7YOV6U
6 years ago | [YT] | 3
View 0 replies
Jane Shussa
Jamani tumefikisha 1k subscribers... asante sana kwa kuendelea kunisupport na kutenga muda kuangalia videos zangu....
More videos zinakuja... kama haujasubscribe fanya hivyo.
Quick fact: napenda sana maua... β€β€β€
6 years ago | [YT] | 4
View 2 replies