USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR



USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Bwana Yesu asifiwee
Tukiwa tumebakiwa na siku chache kufikia #ban2026🔥
Tupate baraka kwa Wimbo huu
🎶Mimi na nyumba Yangu tutamtumikia Bwana Maana yeye amefanya ishara kubwa mbele ya macho yetu 🔥🔥🙏

3 weeks ago (edited) | [YT] | 43

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

MUNGU ametupendelea 🙏

4 months ago | [YT] | 34

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Shalom wapendwa katika BWANA.. Kwa Neema ya Mungu tunatarajia kufanya Ibada kubwa tarehe 29 MAY 2026 itakayoambatana na Live Recording. Tunapenda kuwakaribisha katika Ibada hii pamoja na kutuunga mkono kwa sadaka kufanikisha Ibada hii. 🙏🙏

7 months ago | [YT] | 17

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Get ready for new video release 🔥🔥

1 year ago | [YT] | 36

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Karibuni nyote katika Ibada hii ya Night of preparation ni Jumamosi hii 🔥🔥

1 year ago (edited) | [YT] | 19

USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR ( SIC )

Je, Uko tayari kwa kupokea wimbo mpya?
Guess.....Ni wimbo gani mpya utatoka?🤔🔥
Subscribe YouTube channel yetu uweze kuwa wa kwanza kutazama wimbo mpya.
#SIC
#SocialInternationalChoir
#NewRelease

1 year ago | [YT] | 28