Karibu Advent TV Online – channel ya Kikristo inayohubiri Injili ya Yesu Kristo kupitia Mafundisho ya Biblia, Mahubiri, na Nyimbo za Ibada. Lengo letu ni kuwasaidia watu kumjua Mungu zaidi kupitia Neno lake na kujiandaa kwa kurudi kwa Yesu Kristo.

Hapa utapata:
1. Mahubiri
2. Nyimbo za Ibada.
3. Simulizi na za Biblia
4. Historia za watunzi wa nyimbo
5. Mafundisho ya Biblia kwa watoto
6. Nyimbo za watoto

Jiunge nasi:
> Subscribe kupata maudhui mapya
> Wasiliana nasi: WhatsApp +255759024608 | Email: adventcompany777@gmail.com

English:
Welcome to Advent TV Online – a Christian channel sharing Bible teachings, Swahili sermons and worship songs. Our mission is to help people know God more through His Word and prepare for the return of Jesus Christ.

Here you will find:
1. Bible-based sermons
2. Worship songs
3. Bible stories and narratives
4. History of hymn writers
5. Bible teachings for children
6. Christian children’s songs

Join us:
Subscribe now for new content weekly

Advent TV Online

Wewe Ni Wapekee ‼️‼️‼️
0️⃣1️⃣-0️⃣7️⃣-2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣

🦚Mungu aliupenda ulimwengu kwa upendo usio na kifani kwa kumtoa Yesu Kristo ili watu wapate uzima wa milele. Kila anayemwamini Yesu ana nafasi ya kupokea wokovu.

Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

▶️ Endelea kutufatilia YouTube, Advent TV Online.

17 hours ago | [YT] | 1

17 hours ago | [YT] | 2

Mimi nilikuwa mnyweshaji wa Mfalme Artashasta. Mimi ni nan?

1 day ago | [YT] | 2

Advent TV Online

Wewe Ni Wapekee ‼️‼️‼️
3️⃣0️⃣-0️⃣6️⃣-2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣

🦚 Yesu anatamani kuingia katika maisha yetu na kuwa na ushirika wa karibu nasi. Kila siku tunaitwa kufungua mioyo yetu kwake.

Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

▶️ Endelea kutufatilia YouTube, Advent TV Online.

1 day ago | [YT] | 3

Advent TV Online

Nilimlea Esta kama mwanangu. Mimi ni nani?

2 days ago | [YT] | 1

Advent TV Online

Wewe Ni Wapekee ‼️‼️‼️
2️⃣9️⃣-0️⃣6️⃣-2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣

🦚 Roho yetu inamhitaji Mungu kama mwili unavyohitaji maji. Kiu ya kiroho hutuvuta karibu zaidi kwake.

Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

▶️ Endelea kutufatilia YouTube, Advent TV Online.

2 days ago | [YT] | 4

Advent TV Online

Nguvu zangu zilihusiana na nywele zangu. Mimi ni nani?

3 days ago | [YT] | 0

Advent TV Online

Wewe Ni Wapekee ‼️‼️‼️
2️⃣8️⃣-0️⃣6️⃣-2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣

🦚 Kumjua Mungu ni safari ya maisha yote. Kadiri tunavyoendelea kumtafuta, ndivyo tunavyomuelewa zaidi.

Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

▶️ Endelea kutufatilia YouTube, Advent TV Online.

3 days ago | [YT] | 7

Advent TV Online

Mungu alinichagua kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Wamidiani. Mimi ni nani?

4 days ago | [YT] | 1