🕌 Karibu kwenye Channel Rasmi ya Ust ISSA RASHID (Al Habyb Raahil)

📚 Hii ni channel maalumu kwa ajili ya kusambaza elimu ya Kiislamu kwa njia rahisi, sahihi na ya kina Chini Ya Alfaqeer Ust Issa Rashid :


👉 Jiunge nasi kwa darsa fupi na zenye manufaa kila wiki.
🔔 Usisahau kusubscribe, ku-like, na kushare ili kusambaza elimu.



🔗 Tufuatilie pia kwenye:

🌐 TikTok: www.tiktok.com/@habyb_raahil?_r=1&_t=ZS-954wSZ…
📱 WhatsApp Group: Jiunge hapa chat.whatsapp.com/FpYfMgQ26Fz6KMulbqnVkL
📩 Mawasiliano :±255793045842



إِنَّ الفَتى مَن يُقولُ ها أَنا ذا // لَيسَ الفَتى مَن يُقولُ كانَ أَبي


RAAHIL ONLINE TV

Eid Mubarak

1 month ago | [YT] | 5

RAAHIL ONLINE TV

📢 Assalaam Alaykum Warahmatullah 🤲
Tunapenda kuwajulisha kuwa Darsa za Aruudh zitaanza kesho In shaa Allah
🗓️ Zitakuwa zinafanyika kila Jumapili
📖 Karibuni sana tufaidike pamoja katika kujifunza mizani ya mashairi
🤲 Msikose kuhudhuria na kuwajulisha wengine

2 months ago | [YT] | 13

RAAHIL ONLINE TV

Coming soon

3 months ago | [YT] | 9

RAAHIL ONLINE TV

اللهم أهلَّه علينا بالأمن والإيمان
والسلامة والإسلام

4 months ago | [YT] | 3

RAAHIL ONLINE TV

Yahya IBN Aby Kathir :
Urithi Wa Elimi ni Bora zaid ya Dhahabh na Nafsi njema ni zaid ya lulu na Wala Haiwez kupatikan Elimi Kwa Raha.
Al jumaa Mobaarak

1 year ago | [YT] | 7