Welcome to Mchagga001.
This channel is for men and women who want to grow mentally, emotionally and spiritually we talk about relationships, discipline, masculinity, faith and real life without lies.If you want real talk that challenges you to grow SUBSCRIBE
REAL TALK REAL GROWTH
WAJUE WALIO KUZUNGUKA!
Kuna badhi ya watu ambao tunawaleta kwenye Maisha yetu na Waka kama Chachu ya maendeleo yetu ya Kuweza kusonga mbele na wao kuwekeza muda wao kwetu kwa ubora wao na wetu pia na wakakwa Tayari kujitoa Kadri ya uwezo wao Ila kufanikisha ndoto zako na zao kwa pamoja.
Vile vile Kuna watu wanakuja kwenye Maisha yetu kwa ajili yakuja kupora Furaha yetu na Nguvu zetu na wapo Tayari sisi tuwekeze kwao Ila wao hapo Tayari kwa Hilo Ila wapo Tayari kufaidika na Nguvu zako Bila hata ya shukurani yoyote Ile.
Maisha ni safari inayotaji nguvu zako na wakati kwako Kuwekeza kwa pamoja na kuamini kwamba kama sio leo basi kesho pia ni siku yakuanza Upya.
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
REAL TALK REAL GROWTH
MAJI NI UHAI ILA UKIZAMA BAHARINI UNAKUFA..........
Huu ni msemo ambao kwa sasa unatumika sana uswahilini, ambayo maneno yake ni ya kweli na ukiyatilia manani yanaleta manaa kubwa sana fiche sawa sawa na kuwa, HERI KUKOSEA KUJENGA KULIKO KUKOSEA KUOA.
tukiuleta msemo wa bahari na maji ni sawa maisha na watu yani watu waliotuzunguka kwenye maisha yetu ikiwa tutawashiriki kila wanachosema juu yetu au juu ya maisha yetu basi tutaishi kwa tabu na mashaka leo na kesho baadae japokua miasha ni watu ila ukijimix sana na watu wengi inakua sumu kwako......
unatakiwa kuwa na mausiano mazuri na watu ila hutakiwi kumshirikisha kila mtu kwenye maisha yako na mipango yako ikiwa yeye hakushurikishi hata kwenye shida zake... Kuna watu wanatabia za maji wanaweza kukuelekeza vyema na kuyafanya maisha ukayaona bomba ila hao hao watu wanazo hulka za bahari ukingia kwenye anga zao wanaweza kukufanya ukawa ni wa Duni thamani kwenye hii Dunia.
Mzoea ya kutembea ufukweni mwa bahari utibu msongo wa mawazo na kulainisha wayo wa miguu yako nakutoa nuksi katika mwili wako kwa kutembea kwenye mchanga wa baharini........
3 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
REAL TALK REAL GROWTH
Sio kwamba Rafiki zako hawataki Kukusaidia au Wanajidai kwakua Wametoboa La Hasha ? We tambua kila moja ana ndoto zake anaitaji Kutimiza na Rafiki yako kukusaidia au Kukukopesha hela yake ni hiari yake na sio lazima manaa Maisha yako sio yake na mipango yako sio Yake, anapokwambia Siko vizuri au sina kitu wala usikimbilie kuwaza Negative we Muombe Allah amzidishie awe vizuri na Amjalie Rizki ya kumtosha na ya kusaidia Majirani zake na Marafiki zake kama ww.
Ukiwa na Roho ya kuwaombea Rafiki zako mema hata kama wanaubaya na Ww Utaona Majabu Mengi ya Allah juu yako, Usisubirie nikwambie ni maajabu gani we jua tu Allah ni mwingi wa Rehema Kubwa kubwa na Rehema ndogo ndogo kulingana na Imani yako.
Ukiwa ww una mipango ya kuziweka ukizishika Kuna wenzako wana mipango ya kuzitumia wakizishika so usishangae kwa nn Rafiki zako waliojaliwa kipato wakikwambia "kwa sasa sina kitu mfukoni ila ningekusaidia ndugu yangu " sababu hata Duniani kuna kipindi cha mvua na jua na Kuna muda mvua inanyesha ila ardhi Haitoi mazao ya kutosha kabisa. Nadhani umenisoma.
Na sio kila Rafiki anamipango ya kukusaidi ww huwenda muda unaotaka akusaidie, yeye nyuma kuna Marafiki zake wa dhati zaidi yako kama 4 hivi ashawasaidia kabla yako, keep it real one love and peace...... ITAENDELEA SIKU NYENGINE.
3 years ago | [YT] | 1
View 0 replies