Let’s Impact Millions Podcast
More than a podcast - this is a masterclass on business, money, and real-world success,
We share practical knowledge, real experiences, and proven strategies in:
Business, Entrepreneurship, Investments, Financial Markets, Technology, Branding, Sales, Leadership, Systems, Productivity, AI, and more,
All content is delivered in a simple, high-quality, and practical way - completely FREE,
This platform was created to close the gap in Tanzania and East Africa by providing real business and investment knowledge in Kiswahili,
Expect high-level conversations, serious insights, and valuable lessons from entrepreneurs, leaders, and industry players.
Let's Impact Millions Podcast
Tumevunja record🚀,
Let’s Impact Millions Podcast imekuwa podcast ya kwanza Tanzania na chache sana duniani ambazo episode ya kwanza tu imefikisha views zaidi ya 250,000 in less than 10 days,
Lakini sio hivyo tu…
Pia imeweka rekodi ya kuwa most watched podcast episode Tanzania ndani ya muda huo mfupi,
Na kitu kikubwa zaidi - hii sio podcast ya entertainment au aina ya maudhui yasiyo na faida kwa mtazamaji,
Hii ni platform ya maarifa, experience, mtazamo, na mabadiliko halisi kwa jamii,
Kwa muda mrefu, vijana wengi wamekuwa wakiamini kwamba;
Ili upate attention mtandaoni lazima utoe vitu visivyo na maadili au visivyo na value,
Let’s Impact Millions imeweza kubadilisha narrative hiyo kwa kuwa mfano halisi,
Na zaidi ya hapo…
Kwa nchi yetu, mara nyingi mtu akiingia platforms kama YouTube kitu pekee anapata ni burudani tu,
Lakini haipaswi kuwa hivyo,
Inapaswa kuwepo sehemu ambayo mtu anaweza:
* Kujifunza
* Kupata maarifa
* Kupata experience
* Kupata direction ya maisha
Na hapo ndipo Let’s Impact Millions Podcast inaingia, na tunaamini sisi ni waongoza njia tu wapo wengi zaidi watafuata na hilo ndio lengo letu,
Ahsanteni sana kwa mapokezi haya makubwa🙏
Hatuichukulii hii support kama kitu cha kawaida - ni kitu kikubwa sana kwetu,
Na tunachowaahidi ni;
- Ku-maintain quality
- Kuwa consistent
- Na kuendelea ku-deliver massive value for completely FREE,
Shukrani za dhati kwa kila mmoja
aliyetumia muda wake, bando lake, simu yake…
Kuangalia, kushare, kupost, na kutoa maoni yake (comment),
Bila wewe hii record isingekuwepo,
Na kama tungeweka huu uthubutu, massive investment, values, quality, skills alafu tuangalie wenyewe au wewe usiangalie hivyo vitu vyote vingekuwa havina maana,
Episode ya pili inakuja this week, stay tuned
Our mission is to impact millions
1 month ago | [YT] | 149
View 16 replies
Let's Impact Millions Podcast
Tuambie kwenye comment swali gani umetamani lingeulizwa kwenye episode ya kwanza ya let’s impact millions podcast lakini halijaulizwa,
Ps: Tunashukuru sana, tumepokea pongezi na feedback kubwa sana,
Hiyo ina maana isiyo ya kawaida kwetu, hatuichukulii kirahisi rahisi, ni kitu kikubwa sana
We highligh appreciate for your trust and support kwenye hii safari ya ku-impact millions kupitia maarifa ya biashara, sensitive information na experience,
Tunaku-promise ku-rise standards and bars high and high kila siku ili kukupa experience iliyo bora zaidi na values beyond your imagination,
Na katika process hii ya kuandika-rise bars and standards tunaomba tuchane ukweli
- vitu gani tumevifany vizuri,
- vitu gani tumevifanya vibaya,
- vitu gani we tunatakiwa ku-improve,
Feedback yako ina nafasi kubwa sana kwenye safari hii ya kuendelea kujenga podcast ambayo ni masterclass for generations and generations,
Our mission is to impact millions
1 month ago | [YT] | 153
View 34 replies