Welcome to my YouTube channel known as HC SAUND ,

here is the motion for the new Singeli laza and bakola beat

Thanks, Don't forget to subscribe to the newest work


I love music, music is my life
#hcsaund #mrmibiti


Hc Saund

New Singeli Beat πŸ”₯πŸ”₯
https://youtu.be/LDd_i2Dg9SA?si=ObW0M...

2 months ago | [YT] | 3

Hc Saund

ASANTENI SANA FAMILIA ❀️πŸ”₯

Kwenye YouTube
Tumefikisha 2,710 Subscribers πŸŽ‰
Zaidi ya 556,000 Views πŸ‘€
Likes 3,400+ πŸ‘
Comments 528 πŸ’¬
Shares 10,100+ πŸ”

Hii yote ni kwa sababu yenu πŸ™
Support yenu ndiyo inanifanya niendelee kupiga beat nzuri zaidi kila siku.

Safari bado ndefu… tuko njiani kufika mbali zaidi πŸš€
Kama bado hujasubscribe, huu ndio muda sahihi 😎

Asanteni sana kwa kuniamini ❀️
Pia, niambie kwenye comment "Unanisupport tangu mwaka gani?"

Facebook:
www.facebook.com/share/p/1CAJoZcMEa/

3 months ago | [YT] | 8

Hc Saund

BADO NAPAMBANA, MSICHOKE KUNISAPOT, ASA KIPINDI HIKI NIPO KIMYA NAANDAA BEAT MPYA πŸ”₯πŸ”₯
INGIA KWENYE CHANNEL YANGU β€ͺ@hcsaund‬ NA COMMENT KWENYE BEAT ZANGU PIA SHARE BEAT+ LINK ZA BEAT KWA WADAU, MAGROUP, NA SEHEMU ZOTE ZA MIZIKI, NAAMINI KUFANYA HIVYO TUTAFIKIA MALENGO, βœ…πŸ”₯
ASANTENI πŸ™πŸ™

6 months ago | [YT] | 14

Hc Saund

πŸ˜” Pole kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini kwetu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Tuendelee kuombea amani, upendo na umoja.
Mungu atulinde na kutuongoza πŸ™

7 months ago (edited) | [YT] | 15

Hc Saund

Another beat πŸ”₯πŸ”₯
Official Link: https://youtu.be/5OT96zRW6Yk

7 months ago (edited) | [YT] | 14

Hc Saund

UNGEPENDA BEAT IJAYO IWE YA MAPENZI AU VAIBU??
Nasoma commentπŸ”₯πŸ™

7 months ago | [YT] | 8

Hc Saund

πŸŽ‰ Channel yangu inatimiza miaka 4 leo!
Asante kwa wote mnaonisikiliza, kushare na kuniamini πŸ™
Safari bado inaendelea πŸ”₯
#HcSaund #Singeli #Producer #Tanzania #4YearsStrong

7 months ago | [YT] | 10

Hc Saund

KAMA UNAAMIN HC SAUND NIMEFANYA POA KWENYE HII BEAT, NAOMBA LIKE YAKO ❀️
https://youtu.be/tXIqRPVx58U

7 months ago | [YT] | 12

Hc Saund

WASILIANA NA HC SAUND
Producer | Beat Maker | Music Coach

Huduma Tunazotoa:
βœ… Kutengeneza Beat zote (Singeli, Bongo Fleva, Amapiano, na zaidi)
βœ… Kurekodi nyimbo kwa ubora wa studio
βœ… Matangazo & Promo za wasanii mtandaoni
βœ… Jifunze Mziki kwa vitendo na maelekezo ya Hc Saund

πŸ“ž WhatsApp / Simu / SMS:
+255 755 789 270

πŸ“ Mahali:
Mbagala – Saba Saba, Kwa Mpili

Chukua hatua leo, safari yako ya mziki inaanzia hapa kwa HC SAUND!

7 months ago | [YT] | 6