KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

🎢 Karibu Kelcha’s Music Production 🎢

Kelcha’s Music Production ni studio inayojikita katika utengenezaji wa Biti za Kwaya, Gospel, Afrobeat, Amapiano, Zouk, Reggae, na aina nyingine za muziki. Tunatoa huduma za kurekodi, kutengeneza beats, mixing & mastering kwa viwango vya juu.

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa huduma zifuatazo:
βœ… Kutengeneza biti za nyimbo mbalimbali
βœ… Mixing & Mastering
βœ… Kurekodi nyimbo za Gospel na Cover Songs
βœ… Kuandaa instrumentals za Live Worship & Praise

πŸ“Œ Mawasiliano:
πŸ“ž Airtel: +255 782 526 502
πŸ“ž Halotel: +255 624 851 135
πŸ“© E-MAIL: kelvinchalamilas@gmail.com
πŸ“ Location: Dar es Salaam, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ”” SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa maudhui zaidi!

πŸ“’ Tufollow kwenye mitandao ya kijamii:
βœ… Instagram: kelchas_studio_tz
βœ… TikTok: @kelchasmusicproduction

🎼 #KelchasMusicProduction #BitiZaKwaya #GospelMusic #Afrobeats #TanzaniaMusic #Amapiano #Zouk #Reggae #Instrumental


KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

πŸŽ™οΈ KELCHAS MUSIC PRODUCTION 🎹

Kelchas Music Production ni studio bora ya kurekodi, mixing na mastering jijini Dar es Salaam. Tunatoa huduma za muziki wa viwango vya juu kwa wasanii, waimbaji wa kwaya, vikundi na watayarishaji wa muziki.

πŸ“ Tegeta Madale, Mivumoni Center – Dar es Salaam
πŸ“Œ Tafuta Kelchas Music Production kwenye Google Maps, itakuongoza moja kwa moja hadi studio.

Ubora wa sauti ndio kipaumbele chetu. Karibu tufanye muziki wako usikike kwa kiwango kingine. 🎢πŸ”₯

#KelchasMusicProduction #StudioYaKisasa #DarEsSalaam #MusicProduction #RecordingStudio

1 week ago | [YT] | 2

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

Asanteni sana kwa kuchagua Kelchas Music Production. πŸ™πŸŽ΅

Kila mteja anayefika studio yetu ni sehemu ya mafanikio yetu. Tunawashukuru kwa kutuamini na tunaendelea kuwakaribisha wote wenye vipaji na ndoto za muziki.

Karibu Kelchas Music Production – Mahali ambapo vipaji vinapata sauti na ndoto zinakuwa muziki. πŸŽ™οΈπŸŽΉπŸŽΈ

πŸ“ Tegeta Madale, Mivumoni Center, Dar es Salaam.

#KelchasMusicProduction #MusicStudio #RecordingStudio #TanzaniaMusic #KaribuStudio #MusicLife 🎢πŸ”₯

2 weeks ago | [YT] | 4

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

πŸ”₯ Recording
πŸ”₯ Beat Making
πŸ”₯ Mixing & Mastering
πŸ”₯ Music Production

Karibu Kelcha's Music Production.

#ProducerLife #KelchasMusicProduction #MusicProducer #StudioLife #WhereTalentMeetsQualitySound

2 weeks ago | [YT] | 4

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

πŸŽ™οΈKaribu Kelcha's Music Production!

Kila tabasamu unaloona hapa linaanza na ndoto, halafu sisi tunaligeuza kuwa muziki. 🎢πŸ”₯

Asante kwa kutuamini. Safari ya muziki inaendelea hatua kwa hatua.

πŸ“ Recording
πŸ“ Mixing & Mastering
πŸ“ Beat Making
πŸ“ Music Lessons

#KelchasMusicProduction #StudioLife #MusicStudio #RecordingSession #MusicProducer

3 weeks ago | [YT] | 6

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

🎹 Kutoka wazo hadi wimbo kamili β€” kazi inaendelea Kelcha's Music Production. 🎧πŸ”₯

#MusicProduction #studiomivumoni #kelcha

1 month ago | [YT] | 4

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

#TBT 2022 πŸ”₯🎹

Hapa ndipo safari ilipoanzia…
Mwaka 2022 tulikuwa kwenye hatua za mwanzo za kujenga ndoto yetu,

2 months ago | [YT] | 3

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

Mwanzo 1:3
[3]Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
And God said, Let there be light: and there was light.

7 months ago | [YT] | 1

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

Mwanzo 1:1
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

7 months ago | [YT] | 0

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

Wanafunzi wetu wa darasa la muziki wakiwa katika picha ya pamoja! 🎢
Ni furaha kuona kizazi kipya cha vipaji vikikua pamoja na kupiga hatua kila siku. πŸ’ͺ
Tunafundisha muziki kwa moyo wote kuanzia kinanda, vokali, hadi theory.
Karibu na wewe ujiunge nasi!
πŸ“ Kelchas Music Production Tegeta, Dar es Salaam
πŸ“ž 0782 526 502

#KelchasMusic #DarasaLaMuziki #WanafunziWetu #MusicSchoolTanzania #KinandaClass #PichaYaPamoja #TunajengaVipaji

1 year ago | [YT] | 3

KELCHA'S MUSIC PRODUCTION

πŸ“Έ Baada ya kazi nzuri, ni muda wa kapicha!
Wateja wetu mara baada ya kumaliza project ya muziki hapa Kelchas Music Production walijipatia picha ya kumbukumbu πŸ“·
Furaha yao ni ushuhuda wa huduma bora na mazingira rafiki tunayojivunia πŸ’―

Unasubiri nini? Karibu na wewe ujionee utofauti!
🎧 Recording | Mixing | Mastering
πŸ“ Tegeta Mivumoni, Dar es Salaam
πŸ“ž 0782 526 502

#KelchasMusicProduction #StudioExperience #HappyClients #MusicVibes #BongoBeats #StudioSession #BehindTheScenes #WasaniiWanafurahi #TanzaniaMusic #MazingaYaStudio

1 year ago | [YT] | 1