Karibu kwenye Channel [Akili Dunia] hapa, utajifunza vitu vya kushangaza na vya kuvutia kutoka ulimwenguni kote - historia, sayansi, teknolojia, tamaduni, maendeleo ya mataifa, na aina zingine za maarifa. Kila wiki, tunakupa video mpya za kukuza maarifa yako na kukuonyesha jinsi ulimwengu unavyofanya kazi.
Usisahau ku subscribe kwenye chanel hii ili usipitwe na chochote!