Tiba Facts online Tv

Karibu sana katika Chanel hii ya Tiba Facts online Tv, Katika chanel hii utajifunza Elimu ya tiba kupitia QUR'AN TUKUFU MITISHAMBA,MATUNDA,MAJINA 28 YA BARHATIH,NA ELIMU YA ABJAD.

KANUNI NA MUONGOZO
Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu
1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
2. TIBA FACTS ONLINE TV ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi au maneno makali
3. TIBA FACTS ONLINE TV ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote.
4. TIBA FACTS ONLINE TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.
5.Maoni au matamshi ya mfuatiliaji wetu (Subscriber) sio msimamo wetu kama chombo cha Habari. Hivyo TIBA FACTS ONLINE TV haitowajibika kutokana na Maoni ya Wafuatiliaji wetu.
6.Maelezo yote kwenye tovuti hii ni kwa ajili ya elimu tu na hayaondoi uwepo wa daktari, hospitali au dawa.




Tiba Facts online Tv

FAIDA NA MATUMIZI YA SURAT
ZILZALAH KATIKA TIBA
(Part, 1)

1.KUMUADHIBU JINI MKAIDI ALIOKO KATIKA KIWILIWILI CHA MWANADAMU.
Endapo kama mtu unamsomea RUQYA kisha jini akawa analeta ubishi sana au dharau ya kutokuathirika na QURAN isomwayo basi msomee mgonjwa huyo surat ZILZALAH kwa kuirudiarudia, hakika jini huyo atapiga kelele sana na kutulia inshaallah.

2.UKITAKA KUHESHIMIKA,KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA WATU KATIKA JAMII.
Iandike surat ZILZALAH katika sufuria lililo safi kwa kutumia wino wa dhafarani ,kisha weka ndani yake maji ya zamzam au maji ya mvua au maji yoyote katika sufuria hilo.
Fanya kuyatazama maji hayo mara tatu kila siku kwa muda wa siku tatu mfululizo,kisha siku ya tatu nawa maji hayo usoni kwa nia ya kuheshimika,kukubalika na kupendwa katika jamii,inshaallah Allah atakujalia Qubur hiyo.

3.KUFUKUZA MAJINI NA MASHETANI WABAYA WANAOIBA NA KUZUIA DHAHABU MIGODINI.
Iandike surat ZILZALAAH mara moja katika chombo kilicho kisafi kwa wino wa dhafarani kisha ifukize kwa kuchoma ubani maka,ubani kazibari na ubani jawi (Uvumba) sura hiyo kwa manuizi ya kufukuza mashetani na majini wabaya katika mgodi.Kisha weka maji katika chombo kisha isomee sura hiyo mara 21 kisha nenda kamwagie maji hayo katika eneo unalokusudia kuchimba madini.
Hakika ardhi ya eneo hilo itatetemeka na hakuna kiumbe mbaya atakaye baki eneo hilo,na kama kuna mali chini basi mkichimba eneo hilo mtaipata inshaallah.

4.KUMFANYA KIONGOZI MJEURI AKUTII NA KUKUNYENYEKEA.
Kama unataka kwenda kukutana na kiongozi mjeuri nawe ukawa na mashaka kwamba anaweza kukufanyia ujeuri,basi iandike surat ZILZALAAH katika karatasi kisha isomee sura hiyohiyo mara 21 huku ukiwa unaivukiza karatasi hiyo miatusaila na ubani jawi kipindi unasoma.Kisha ukimaliza ikunje vizuri kisha tia mfukoni kisha nenda kakutane nae kiongozi huyo.Endapo atakufanyia ujeuri kiongozi huyo basi atatetemeka sana na kukutii kwa kile unachokihitaji inshaallah.


Somo hili linapatikana kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA QUR'AN KATIKA KUTIBU MARADHI NA KUONDOSHA SHIDA MBALIMBALI" No. 11
kitabu hiki bei yake ni Tsh 12,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

1 day ago | [YT] | 35

Tiba Facts online Tv

FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA
MUHOGO/KISAMVU/SOMBE
KATIKA TIBA.
(Part 2)


6.UKITAKA KUWAONA WACHAWI.
>>>Kama utachukua fimbo ya mti wa muhogo kisha ukawa unatembea nayo kwa nia ya kuwa kila kilichojificha katika ulimwengu wa giza basi kwako kisifichikane.Basi hakuna mchawi yeyote atakaye fichikana katika macho yako,lazima utamuona tu.

7.KAMA UNATAKA USIONEKANE NA WACHAWI.
>>>Chukua majani ya mti wa muhogo kisha yapondeponde kisha kamua yale maji yake alafu jipakae maji hayo mwili mzima kwa nia ya wachawi wasikuone.Hakika mchawi yeyote hawezi kukuona inshallah.

8.KAMA UMETUMIWA UCHAWI WA WADUDU WABAYA NYUMBANI KWAKO(Nyuki,siafu n.k)
>>>Endapo kama wachawi wamekutumia uchawi wa wadudu ili waje kukudhuru,mfano nyuki,n.k, basi pondaponda majani ya kisamvu kisha jipakae maji yatokayo katika majani hayo mwili mzima basi wadudu hao hawata kudhuru kitu chochote inshaallah.

9.KUONDOA UCHAWI WOWOTE ULE ENEO LOLOTE LILE.
>>>Chukua majani 56 ya kisamvu kisha yaandike majina ya BARHATIHI kila jani moja kwa kutumia zafarani ya maji au makerpen nyekundu.alafu ongeza na herufi shin (ش) katika kila jina la barhatihi.
kisha yaponde ponde majani kisha changanya na maji alafu tumia kwa kuoga au kupigia deki au kupakaa eneo husika kuondoa uchawi wowote uliologwa au kuzikwa katika eneo.

10.KUZUIA MACHEZO YA KICHAWI.
>>>Chukua mti wa muhogo kisha uponde ponde upate unga wake kisha changanya na mafuta ya kupakaa kisha tumia kwa kupakaa mafuta hayo.Hakika kwa uwezo wa Allah hauwezi kuchezewa na mtu yeyote kichawi.

Unaweza kufatilia somo hili kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI" No. 2
kitabu hiki bei yake ni Tsh 10,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

1 day ago | [YT] | 25

Tiba Facts online Tv

FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA
MUHOGO/ KISAMVU KATIKA TIBA
(Part, 1)


1.KUMUANGAMIZA MCHAWI ALIYENASWA KATIKA MAZINGIRA YA KICHAWI.
>>>Endapo kama mchawi amenaswa akifanya mambo ya kichawi katika eneo lako basi chukua fimbo ya mti wa muhogo kisha mpige nayo bakora moja tu mtu huyo.
hakika utakuwa umemuangamiza kabisa mtu huyo na hawezi kuishi zaidi ya siku 21.
Pia akifika huko aendapo ataanza kutoa siri za uchawini kwao,na akifanya hivyo tu basi wachawi wenzake watamuua mtu huyo.

2.MVUTO MKALI WA KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA WATU.
>>>Kama utachukua majani ya mti wa muhogo kisha ukayapondaponda kisha ukachanganya na maji.kisha maji hayo tumia kwa kuoga asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu ni dawa nzuri sana ya mvuto wa kukubalika na watu.

3.KU UUWA UCHAWI ULIOTEGWA ENEO LAKO.
>>>Endapo kama utakuta eneo lako umetegwa uchawi au umemwagiwa uchawi katika eneo lako basi ,chukua unga wa muhogo kisha changanya kwenye maji alafu mwagia eneo hilo lililomwagiwa au kutegwa uchawi huo basi utakuwa umeuuwa uchawi huo na hautokudhuru wala kufanya kazi tena.

4.KAMA MTU AMEFANYIWA UCHAWI WA KUCHUKULIWA KIVULI (MSUKULE)
>>>Chukua unga wa mti wa muhogo,unga wa ndizi,unga wa magome ya mti wa muhegea na kivumbasi kisha changanya kwenye maji kisha tumia kwa kuoga maji hayo kwa muda wa siku tatu mfululizo.Inshaallah utakuwa umeuuwa uchawi huo.

5. KAMA UNATAKA KU UONA ULIMWENGU WA KICHAWI NA WACHAWI.
>>>Chukua majani ya kisamvu mpira (mti wa muhogo usiotoa muhogo chini) kisha ponda ponda,alafu kamua maji yake kisha nawia usoni ,kwa nia ya kutaka kuuona ulimwengu wa kichawi.Basi sehemu yeyote utakayo kaa kama kuna watu wanafanya uchawi au wanapita katika mazingira ya kichawi basi utawaona live.

Unaweza kufatilia somo hili kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI" No. 2
kitabu hiki bei yake ni Tsh 10,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

5 days ago | [YT] | 37

Tiba Facts online Tv

FAIDA YA CHUMVI YA MAWE NA
KAZI ZAKE KATIKA TIBA.
(Part3)

11.KUMDHIBITI MUME/MKE/NDUGU AKUPE UNACHOTAKA.

Chukua chupa nyeupe ya grasi ,karatasi na pen nyekundu,kisha Andika majina matatu ya mtu huyo unayetaka kumdhibiti (jina lake,la mama yake na la baba yake) kwenye karatasi hiyo kwa kutumia karamu nyekundu,kisha andika na manuizi yako vile unavyotaka,kisha fungia katikati ya hiyo karatasi chumvi ya mawe kisha weka kwenye chupa nyeupe ya grass kisha nenda kafukie njia panda kwa manuizi , hakika mtu huyo atakupa unachokitaka inshaallah.

12.KUVUTA WATEJA KATIKA BIASHARA NA KUWEKA KINGA KATIKA BIASHARA.
Chukua chupa nyeupe kisha tia ndani yake chumvi ya mawe na dawa yoyote ya mvuto unayoifahamu,kisha funga pamoja,kisha fukia sehemu ulioikusudia,au weka sehemu yoyote katika biashara yako.pia dawa hiyo hiyo itakuwa kama kinga ya kuzuia chuma ulete na kuchezewa kichawi katika biashara yako inshaallah.

13.KUMFANYA MTU AKUTII KATIKA JAMBO LOLOTE UNALOHITAJI.
Chukua chumvi ya mawe kisha changanya na unga wa pilipili kichaa kisha funga katika kitambaa cheupe kisha weka ndani ya kiatu cha mguu wa kulia kisha nenda kaongee nae mtu huyo katika jambo lolote ulilokusudia hakika atakutimizia kwa uwezo wa mwenyezimungu jambo lako inshaallaha.

14.KUMFUNGA ADUI ANAYEKUFATAFATA.
Chukua chumvi ya mawe kiasi cha gao la mkono mmoja,kisha weka katika sufuria au chungu ambacho kimehasiwa kupikiwa chanaganya na maji ya kutosha ,kisha iache chumvi ile mpaka iyeyuke vizuri.Tumia maji yale kumwagia mwagia katika eneo lako huku ukitia nia yako ya kumfunga adui yako aache kukufatilia fatilia,inshaallah adui huyo atapata uzito kila anapotaka kuja kwako.

15.KUMFILISI MTU ALIYEKUDHULUMU.
Iwapo kama umedhulumiwa na mtu ,nawe ukataka aliyekudhulumu nae mali yake iharibike nae afirisike,basi chukua chumvi ya mawe madonge 1000 kisha funga katika kitambaa cheupe kwa manuizi andika na jina lake katika karatasi kwa kutumia karamu nyekundu,kisha tia katika chumvi hiyo,kama mtu huyo nyota yake inatokana na asili ya udongo au maji basi utakwenda kutupa kitambaa hicho porini,na kama mtu huyo nyota yake inatokana na asili ya moto au upepo basi nenda katupe chumvi ile katika mto au mfereji unaotililisha maji.Hakika mtu huyo atafirisha mali zake zote na kubaki hana kitu kabisa.


Unaweza kufatilia somo hili kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI" No. 2
kitabu hiki bei yake ni Tsh 10,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

1 week ago | [YT] | 26

Tiba Facts online Tv

FAIDA NA MATUMIZI YA MAJINA 28
YA BARHATIH
3.TATILIYH

1.KUMUHAMISHA MTU DHWALIMU /ADUI YAKO KATIKA NYUMBA YAKO.
Liandike jina hili katika kitu kilichokigumu mfano ubao kwa idadi ya mara 13 ,kisha lisomee jina hilo hilo kwa idadi ya mara 13,kisha nenda kafukie au kuzika katika nyumba yako kwa manuizi ya kuhitaji kumuhamisha mtu dhalimu au audui yako unayehitaji aondoke katika eneo lako.Inshaallah adui huyo ataondoka yeye mwenyewe kwa idhini ya mwenyezimungu

2.KUPATA UTAJIRI WA HALALI NA MAISHA YENYE KURIDHISHA.
Mwenye kusoma jina hili kwa idadi ya mara 70 kwa muda wa siko 40 mfululizo inshaallah mwenyezimungu atamruzuku utajiri wa halali na maisha yenye kuridhisha kabla mtu huyo hajafa.

3.KUONDOA MIGOGORO NA MAGOMVI NDANI YA NYUMBA AU KATIKA NDOA.
Iwapo kama kumekosekana maelewano au kuna ugomvi baina ya mke na mme ,basi liandike jina hili katika karatasi nyeupe kwa kutumia wino wa dhafarani iliyochanganywa na miski kwa idadi ya mara 70, kisha apewe mmojawapo wa wanandoa aibebe ile karatasi kichwani,(kama ni mwanamme ataiweka kichwani kisha atavaa na kofia na kama ni mwanamke ataiweka kichwani kisha atavalia na ushungi juu yake) inshaallah ugomvi huo utakwisha.

4. KUONDOA MAUZAUZA NDANI YA NYUMBA.
Kama ndani ya nyumba kuna mauzauza au vituko vya kishirikina visivyojulikana basi tamka majina haya matatu kwa idadi ya mara 100 huku ukiwa unachoma Bukhuri shari au chumvi ya mawe BARHATIH, KARIYR ,TATILIYH inshaallah mauzauza yatakwisha.

Unaweza kufatilia somo hili kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "UTUKUFU WA MAJINA 28 YA BARHATIH" No. 1
kitabu hiki bei yake ni Tsh 15,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

1 week ago | [YT] | 57

Tiba Facts online Tv

FAIDA NA MATUMIZI YA SURAT
QURAYSH KATIKA TIBA
( Part, 1 )


1.KUKIKINGA CHAKULA KUTOKANA NA MAZONGO YA KICHAWI.
Utachukua kiasi cha pishi la chakula kilicho andaliwa kwa ajiri ya kupikwa kisha utakisomea chakula hicho Surat Quraysh kwa idadi ya mara 11 kisha utakwenda kukichanganya na chakula kingine kilichoandaliwa pamoja kwa ajiri ya kupikwa, kwa nia ya kukikinga chakula hicho kutokana na mazongo ya kishirikina, kisha kitapikwa pamoja.Hakika chakula hicho hakitokuwa na madhara yoyote kwa walaji hata kama kitafanyiwa zongo la uchawi.

2.FIMBO YA KUWAADHIBU WACHAWI NA MAJINI.
Utakwenda katika mti wa msonobari kisha ukifika hapo utatia nia yako ya kuhitaji kuuchukua mti huo uende ukatengeneze fimbo ya kuwaadhibu majini na wachawi.Kisha baada ya kutia nia yako utauzunguka mti huo huku ukiwa unasoma Surat Quraysh kwa idadi ya mara 11.kisha utakata fimbo ya mti huo kisha utarudi nayo nyumbani.Baada ya kufika nyumbani fimbo hiyo utaisomea tena Surat Quraysh kwa idadi ya mara 11. kisha utatia nia yako ya kuhitaji fimbo hiyo iwe kama siraha ya kwaadhibu majini na wachawi.kisha fimbo hiyo utaiweka katika mlango wako au utaitumia kipindi unamsomea dua mtu mwenye mashetani basi utakuwa unamsontea nayo kwa kumua shiria huyo mtu mwenye mashetani hakika atapiga kelele sana kwa uchungu na maumivi anayo yapata kupitia fimbo hiyo.

3.KINGA YA MABALAA KATIKA SAFARI ZA MAJINI NA NCHI KAVU.
Utaiandika surat Yasiin aya ya 1-2 kisha chini yake utaiandika surat Quraysh yote katika karatasi kwa kalamu ya kawaida .Kisha karatasi hiyo utaiweka sehemu ya mbele ya kile chombo cha usafiri ,Hakika hamtopata dhoruba ya aina yoyote katika safari yenu wala misukosuko yoyote njiani.
Pia mwenye kusoma Sura hii mara 11 mwanzo wa safari yake ya nchi kavu mwenyezimungu atamfupishia urefu wa safari yake.Njia itakuwa fupi na atamkinga na mabalaa mbalimbli njiani katika safari hiyo.

4.KUFUNGUA VIFUNGO SUGU VYA KICHAWI.
Utachukua nazi tatu kisha utaziandika Surat Quraysh yote kwa herufi mojamoja kisha . Kama ni mtu unahitaji kumfungua utamwambia akae chini kisha utamwekea nazi moja katika mguu wake wa kulia na nyingine mguu wake wa kushoto na nazi nyingine itaiweka nyuma ya mgongo wake.
Kisha utamsomea surat Yasiin yote kwa nia ya kumfungua vifungo.Kisha ukifika mwisho wa surat yasiin,utamsomea ayatul Qursiyyu mara 11 kisha utamwambia achukue nazi moja iliyo katika mguu wake wa kulia aende akavunje kwa nia ya kujifungua vifungo vyote vilivyo katika mwili wake,kisha atarudi tena utamsomea tena Ayatul Qursiyyu mara 11 kisha utamwambie akavunje tena nazi iliyo katika upande wa mguu wa kushoto.Kisha atarudi tena utamsomea tena Ayatul Qursiyyu mara 11 kisha utamwambia aende akavunje nazi iliyokuwa nyuma ya mgongowa wake kwa manuizi hayo hayo. Kisha atarudi palepale alafu mtamswalia mtume mara 100 kisha mtaomba dua hapo.

5.KUTOSHEREZWA KWA CHAKULA.
Iwapo kama unawasiwasi wa chakula kutokutosha kwa kuchelea uchache wake basi utachukua kiasi cha pishi la chakula hicho kisha utakisomea chakula hicho Surat Quraysh mara 11 na Ayatul Qursiyyu mara 11 kisha utapuliza chakula hicho.Kisha utakwenda kuchanganya katika kile chakula kingine.Inshaallah chakula hicho kikipikwa kitawatosha walaji wake wote na wataridhika kabisa.


Somo hili linapatikana kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA QUR'AN KATIKA KUTIBU MARADHI NA KUONDOSHA SHIDA MBALIMBALI" No. 2
kitabu hiki bei yake ni Tsh 15,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

1 week ago | [YT] | 37

Tiba Facts online Tv

FAIDA NA MATUMIZI YA CHUMVI
YA MAWE KATIKA TIBA.
(Part, 2)

6.KUMZUIA MCHAWI KUJA AU KUPITA KATIKA ENEO LAKO KICHAWI.
Chukua chumvi ya mawe tupia juu ya paa la bati la nyumba yako kwa manuizi,hakika mchawi yeyote hawezi kuja katika eneo lako kichawi, wala hawezi kupita juu ya anga usawa wa nyumba yako kichawi.

7.KINGA YA KUMZUIA MCHAWI KATIKA ENEO LAKO.
Chukua chumvi ya mawe madonge 14 kisha yaweke katika kila pembe ya
nyumba yako au kiwanja chako kwa manuizi maalumu ya kuzuia na kuweka kinga katika eneo hilo,pia utaweka na katikati ya nyumba yako au kiwanja chako.Hakika mchawi hawezi kugusa au kufika eneo hilo kichawi ni kinga tosha.

8. KUMNASA MCHAWI KATIKA ENEO LAKO.
Chukua chumvi ya mawe na majani ya kisamvu mpira kisha twanga pamoja,alafu changanya na maji kiasi.Tumia maji hayo kumwagamwaga katika eneo la nyumba yako au eneo la kiwanja chako.Hakika mchawi yeyote akija katika eneo hilo atanasa na hatoki.
Na opoo lake ni tumia kumchapa na fagio ambalo kile kijiti cha kushikia kiwe ni kijiti cha mti wa muhogo,utamchapa bakora moja tu na atakuwa ni mwenye kuzinduka akili.

9.KINGA YA MWILI.
Andika jina lako katika karatasi na manuizi yako ya kuhitaji kuweka kinga usilogeke,kisha chukua chumvi ya mawe kidogo,kata na kucha zako za miguuni na mikononi changanya na mate yako kisha funga pamoja katika ile karatasi yenye manuizi kisha nenda kafukie sehemu yoyote ile au njia panda.Hakika hakuna mchawi yeyote au jini anaeweza kukuroga na kukutia madhara kwa uwezo wa mungu.


10 KUMUACHISHA MTU TABIA MBAYA YOYOTE ILE.(UONGO,UZINIFU,ULEVI n.k)
Chukua karatasi nyeupe kisha andika majina ya huyo unayetaka kumuachisha tabia mbaya usiyoipenda kisha andika na manuizi yako ya kutaka kumuachisha tabia hiyo, tumia peni nyekundu kuandikia majina na manuizi yako,kisha funga pamoja na chumvi ya mawe kisha weka katika chupa nyeusi au kama chupa hiyo sio nyeusi basi utaifunika na kitambaa cheusi kisha nenda kafukie mahala popote pale kwa manuizi ya kumuachisha tabia hiyo usiyoipenda.Hakika mtu huyo ataacha kabisa tabia hiyo inshaallah.


Unaweza kufatilia somo hili kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI" No. 2
kitabu hiki bei yake ni Tsh 10,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

1 week ago | [YT] | 36

Tiba Facts online Tv

MAAJABU YA CHUMVI YA MAWE
KATIKA TIBA MBALIMBALI.
(Part, 1)
Moja kati ya vitu vyenye maajabu makubwa katika ulimwengu wa tiba ni chumvi ya mawe.Chumvi hii inawezo wa kuzuia mionzi yenye nguvu za giza kuweza kupenya katika eneo furani au ndani ya nyumba, pia chumvi hii inaweza kutumika katika mambo mbali mbali ya kitiba.
Tuangalie baadhi ya faida za chumvi ya mawe.

1. KUONDOA NUKSI NA MIKOSI KATIKA MWILI.
Chukua chumvi ya mawe kiasi cha gao la mkono mmoja kisha tia kwenye maji ya kuoga iache iyeyuke vizuri kisha nenda kaoge kwa manuizi ya kuondoa mikosi na nuksi ni dawa nzuri sana na nyepesi kuitumia inshaallah.

2.KINGA YA NYUMBA NA SEHEMU YA BIASHARA .
Chukua chumvi ya mawe ya kutosha kisha isomee Ayatul Qursiyyu mara7 au 21 kisha muombe Allah (s.w) akupe kinga na shari mbalimbali katika eneo lako.Kisha chukua chumvi hiyo mwagiamwagia katika eneo lako inshaallah kama mtu mbaya atakuja kukuchezea eneo hilo hakika ataanguka na kuanza kuropoka maneno ya ajabu.

3.KUMVUTA MTU ALIOKO MBALI .
Chukua chumvi ya mawe,baruti, mlipu, mbegu za ufuta na ubani maka,ubani dhukra na ubani jawi au sandarusi na mafuta ya Nazi ,kisha andika jina la mtu unayetaka kumvuta katika karatasi kisha weka pamoja vitu vyote hivyo katika sufuria alafu tia na mafuta ya nazi kisha anza kukaanga huku unatia manuizi yako,Fanya hivyo kwa muda wa siku tatu inshaallah mtu huyo atarudi kwa uwezo wa mwenyezimungu.

4.KUONDOA UCHAWI WA KUTUPIWA KATIKA MWILI.
Chukua chumvi ya mawe ,kisha itwange upate unga wake chukua na kivumbasi utwange upate unga wake ,chukua na majani ya muosha fedha twanga upate unga wake chukua na habati nuksi kisha changanya pamoja kwenye maji yako ya kuoga. Tumia kuoga maji hayo kwa muda wa siku tatu mpaka saba mfululizo asubuhi na jioni,inshaallah uchawi huo utakuwa ni wenye kubatilika na kukosa nguvu ya kukudhuru katika mwili.

5.KUUWA UCHAWI NDANI YA NYUMBA.
Chukua chombo kikubwa mfano,ndoo yenye ujazo wa lita kumi, weka chumvi ya mawe kiasi cha gao la mkono mmoja kisha somea majina ya BARHATIHI jina la tano na la sita
1.MARZJARIN
2.BARZJARIN
kila moja mara 66.kisha tumia maji hayo kumwagimwagia ndani ya nyumba yako,inshaallah utakuwa umeuuwa uchawi huo ndani ya nyumba,pia baada ya kufanya hivyo unaweza kuona baadhi ya viumbe ndani ya nyumba yako wamekufa hivyo usishangae.



Unaweza kufatilia somo hili kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "MAAJABU YA MITISHAMBA KATIKA KUTIBU MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI" No. 2
kitabu hiki bei yake ni Tsh 10,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

Au
Unaweza pia kufatilia darasa kama hizi kwa undani zaidi katika chanel yangu ya YouTube kwa kubonyeza link hii hapa chini
youtube.com/@tibafactsonlinetv

2 weeks ago | [YT] | 31

Tiba Facts online Tv

FAIDA YA HERUFI RE (ر )
Hii ni herufi ya 10 katika alphabet za ABJAD na
inauzito(thamani ) wa 200.
Moja kati ya kazi za herufi
hii ni pamoja na kupandishwa cheo au kupata utukufu katika jamii.

1.KUPANDISHWA CHEO KAZINI.
 Mwenye kuandika herufi hii katika siku ya ijumaa
kabla ya jua kuchomoza mara 21 katika karatasi
kisha ukaisomea maneno haya YAA RAHMAAN
YAA DAIMA X 210 kisha karatasi hiyo ukaifanya
kama azima yako ukawa unatembea nayo, kwa
hakika atapanda cheo na kupendwa na watu kazini.

2.KUWA MUHESHIMIWA NA KUPATA UONGOZI
Mwenye kuiandika herufi hii kwa idadi ya X1000
katika karatasi katika usiku wa jumapili kuamkia
jumatatu kisha karatasi hiyo ukaifunga katika
kipande cha ngozi ya swala kisha ukaifanya kama
azma yako ukawa unatembea nayo hakika utapata
uongozi(kama wewe ni mgombea wa nyazifa Fulani) na kuheshimika sana na watu katika nafasi
yako.Wakati unaiandika herufi hii utakuwa unasema
"YAA RAHMAAN YAA DAYYAN" mpaka
utakapomaliza kuandika herufi hiyo pia azima hiyo
kama wakati wa kulala utaiweka katika mchegemeo wako wa kulalia huleta ndoto za mambo yako yanakuja katika maisha yako.



Unaweza kulifatilia masomo ya herufi hizi kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "ABJAD "
kitabu hiki bei yake ni Tsh 20,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

Au
Unaweza pia kufatilia darasa kama hizi kwa undani zaidi katika chanel yangu ya YouTube kwa kubonyeza link hii hapa chini
youtube.com/@tibafactsonlinetv

2 weeks ago | [YT] | 22

Tiba Facts online Tv

FAIDA YA HERUFI RE (ر )
Hii ni herufi ya 10 katika alphabet za ABJAD na
inauzito(thamani ) wa 200.
Moja kati ya kazi za herufi
hii ni pamoja na kupandishwa cheo au kupata utukufu katika jamii.

1.KUPANDISHWA CHEO KAZINI.
 Mwenye kuandika herufi hii katika siku ya ijumaa
kabla ya jua kuchomoza mara 21 katika karatasi
kisha ukaisomea maneno haya YAA RAHMAAN
YAA DAIMA X 210 kisha karatasi hiyo ukaifanya
kama azima yako ukawa unatembea nayo, kwa
hakika atapanda cheo na kupendwa na watu kazini.

2.KUWA MUHESHIMIWA NA KUPATA UONGOZI
Mwenye kuiandika herufi hii kwa idadi ya X1000
katika karatasi katika usiku wa jumapili kuamkia
jumatatu kisha karatasi hiyo ukaifunga katika
kipande cha ngozi ya swala kisha ukaifanya kama
azma yako ukawa unatembea nayo hakika utapata
uongozi(kama wewe ni mgombea wa nyazifa Fulani) na kuheshimika sana na watu katika nafasi
yako.Wakati unaiandika herufi hii utakuwa unasema
"YAA RAHMAAN YAA DAYYAN" mpaka
utakapomaliza kuandika herufi hiyo pia azima hiyo
kama wakati wa kulala utaiweka katika mchegemeo wako wa kulalia huleta ndoto za mambo yako yanakuja katika maisha yako.



Unaweza kulifatilia masomo ya herufi hizi kwa kina zaidi katika kitabu changu cha "ABJAD "
kitabu hiki bei yake ni Tsh 20,000/=

UKikihitaji kitabu hiki wakati wowote utalipia pesa hiyo kisha utatumiwa kitabu hicho kwa njia ya whatApp au email (kitabu kipo katika mfumo wa PDF

Namba za kufanya malipo ni
+255782010104
+255764010104
+255672410104
Jina katika namba zote ni BASHIRI HUSSEN LUGAMBA.

Namba hizo zote zinapatikana whatsApp

Au
Unaweza pia kufatilia darasa kama hizi kwa undani zaidi katika chanel yangu ya YouTube kwa kubonyeza link hii hapa chini
youtube.com/@tibafactsonlinetv

2 weeks ago | [YT] | 27