Chaneli hii ni kwa ajili ya kukuwezesha mkulima kupata elimu kupitia vidokezo muhimu, mbinu bora, na maarifa ya kisasa ya kilimo ili kukusaidia kulima mazao bora, na kujenga biashara ya kilimo yenye mafanikio.

OMBI LANGU KWAKO:

Kama ungependa kuchangia kiasi chochote hata kama ni mia moja, unaweza kutuma kwenye namba hii 0656994167 (Jina Alfred Maganga).

Matumizi kuu ya Fedha hii;

1. Itaniwezesha kununua bando, hivyo nitaweza kukupostia videos nyingi zaidi, kwa wakati na bila kukaa muda mrefu au kuchelewa sana kuposti video nyingine.

2. Itaniwezesha kununua kamera nzuri, hivyo kukupostia videos zenye ubora zaidi.

3. Itaniwezesha katika kufanyia editing videos n.k


Kuungwa kwenye group letu la WhatsApp la USHAURI WA KILIMO MAZAO MBALIMBALI, nitafute kupitia namba 0656994167 na kuungwa ni Bure.

Kilimo ni Biashara πŸ₯‚


Kilimo tips

OMBI LANGU KWAKO πŸ™ (Soma post hii kuelewa)

4 months ago | [YT] | 1

Kilimo tips

MBOLEA ZA KUPANDIA, KUKUZIA NA KUBEBESHEA MAHINDI

5 months ago | [YT] | 1

Kilimo tips

Mkulima? Hivi unafahamu kuwa kunyauka kwa mmea shambani si lazima chanzo kiwe ni ugonjwa? Ndio, kuna wakati mwingine mche wako unaweza kunyauka kutokana na uwekaji mbaya wa mbolea ambayo inaweza kuchoma shina au mizizi ya mmea na hivo mmea huo kunyauka. Kwahiyo inahitaji umakini kwenye kulitambua tatizo ili kulitibu. Vinginevyo unaweza unaweza kulaumu wataalamu wako Bure tuu!

Karibu kwenye chaneli yetu hii ya TopGrowers ili ujifunze mengi kuhusu kilimo.
youtube.com/@TopGrowers1

8 months ago | [YT] | 1

Kilimo tips

youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM
Je, unaifahamu njia ya kusia mbegu kwa njia ya Seed broadcasting ?
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM

Coffee seed broadcasting πŸ‘‰ @TopGrowers1‬​​​

10 months ago (edited) | [YT] | 3

Kilimo tips

youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM
Je, unaifahamu njia ya kusia mbegu kwa njia ya seed drilling?
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡youtube.com/@topgrowers1?si=QW2gEsxvmLCcwoqM

Coffee seed drilling πŸ‘‰ β€ͺ@Kilimotips‬​​​

10 months ago (edited) | [YT] | 2