Asantesana Tanzania Pre and Primary School

Tunapatikana Mtaa wa Kiheka uliopo mji mdogo wa Ilula katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa
📞0755151214 / 078435617
📧asantesanatanzania@gmail.com

KARAMU YA UPENDO

Meneja wa @asantesanatanzania Bi. Vaileth Simwinga ameshiriki tukio hilo kama Katibu wa kamati ya maandalizi ikizingatiwa kuwa ndiye mke wa Mchungaji mwenza wa usharika huo wa Luganga ambapo amehakikisha zaidi ya wahitaji 700 wanapata Chakula cha kimwili na kiroho kabla ya kushiriki michezo mbalimbali.

Tunapatikana Mtaa wa Kiheka uliopo mji mdogo wa Ilula katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa

📞0755151214 / 078435617
📧asantesanatanzania@gmail.com

#asantesanatanzania #preandprimaryschool #englishmedium #education #elimu

10 months ago | [YT] | 1

Asantesana Tanzania Pre and Primary School

KIKOSI KAZI

Meneja wa @asantesanatanzania akiwa na mkuu wa shule ya Awali na Msingi Asante Sana Tanzania (wa pili kulia) pamoja na baadhi ya walimu wenye weledi wa hali ya juu.

Tunapatikana Mtaa wa Kiheka uliopo mji mdogo wa Ilula katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa

📞0755151214 / 078435617
📧asantesanatanzania@gmail.com

#asantesanatanzania #preandprimaryschool #englishmedium #education #elimu

10 months ago | [YT] | 1

Asantesana Tanzania Pre and Primary School

DUNIA KIGANJANI

Meneja wetu akiwa na Mwandishi wa Habari, @mwl_meshack_longo baada ya kujionea mazingira bora ya kujifunzia katika shule yetu.

Tunapatikana Mtaa wa Kiheka uliopo mji mdogo wa Ilula katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa

📞0755151214 / 078435617
📧asantesanatanzania@gmail.com

#asantesanatanzania #preandprimaryschool #englishmedium #education #elimu

10 months ago | [YT] | 1

Asantesana Tanzania Pre and Primary School

TUNAKUFIKIA ULIPO

Moja ya sifa muhimu ya shule yetu ni kuwa na usafiri wa uhakika unaowawezesha wanafunzi kupata utulivu wa akili na mwili kabla na baada ya masomo.

Tunapatikana Mtaa wa Kiheka uliopo mji mdogo wa Ilula katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa

📞0755151214 / 078435617
📧asantesanatanzania@gmail.com

#asantesanatanzania #preandprimaryschool #englishmedium #education #elimu

10 months ago | [YT] | 2

Asantesana Tanzania Pre and Primary School

THE IMPOSSIBLE IS POSSIBLE

Mkuu wa Shule ya Awali na Msingi Asante Sana Tanzania, Mwl. Silla Kibugu, anakuhakikishia mzazi kuwa ukimleta mwanafunzi hapa atajifunza kinagaubaga lugha ya kiingereza na Kiswahili huku nidhamu na maadili vikiendelea kuwa vipaumbele vyetu.

Tunapatikana Mtaa wa Kiheka uliopo mji mdogo wa Ilula katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa

📞0755151214 / 078435617
📧asantesanatanzania@gmail.com

#asantesanatanzania #preandprimaryschool #englishmedium #education #elimu

10 months ago | [YT] | 2

Asantesana Tanzania Pre and Primary School

MUDA WA KUTOA ELIMU BORA UMEFIKA

Meneja wa Shule ya Awali na Msingi Asante Sana Tanzania, Bi. Vaileth Simwinga yupo tayari kumhudumia mtoto wako.