Mpendwa wetu wa chaneli ya Dua na Amali za kimwili na kiroho, tambua kuwa:
Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kufanya asubuhi na mapema, ni kutafuta chaneli ambayo itakufanya utabasamu, kwani tabasamu siku zote ndio itakayofanya siku yako iwe nzuri. Mengi utanufaika na mengi yatatatulika kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu In shaa Allah.
Karibu sana jiunge nasi katika chaneli yetu hii.