Radio & TV Presenter | Journalist | Media Personality | Content Creator | Advertising

Marketing | Digital Media | Football Analysts & entertainment | Politics | Lifestyle & Stories


Jabu Swaleh

ALHAMDULILLAH 🤲🥹❤️

Kulikuwa na siku nilihisi kila kitu kimekwisha. Nililia, nilimuomba Allah kwa dua, nikasubiri kwa subira… na leo Allah amenijibu.

Channel yangu ya YouTube imerudi rasmi! 🙏🏻

Asanteni sana kwa wote mlionisimamia, mlionitia moyo na kuendelea kuniamini katika kipindi kigumu zaidi. Kurudi huku kuna maana kubwa sana kwangu.

Hii siyo channel iliyorejeshwa tu,
ni nafasi ya pili.
Ni mwanzo mpya.

“Hakika pamoja na ugumu upo wepesi.” 🤍

#Alhamdulillah #Jabranee_tz #LBMediaTZA #TheComeback

3 weeks ago (edited) | [YT] | 15

Jabu Swaleh

NAOMBA ANGALIA UCHAMBUZI KUHUSU JERAHA ALILOPATA YAMAL NA UWEZEKANO WA KUTOCHEZA KOMBE LA DUNIA

https://youtu.be/T7QCxv1CXXo?si=WKH5n...

2 months ago | [YT] | 2

Jabu Swaleh

IDD MUBARAK WAFATILIAJI WA ‪@IamJabranee‬

3 months ago (edited) | [YT] | 21

Jabu Swaleh

Morocco wametangazwa kuwa washindi wa AFCON 2025

Baada ya maamuzi ya CAF kuwavua Senegal taji kwa sababu ya kuondoka uwanjani kwa maandamano wakati wa fainali 🤯🏆.

Senegal wametangazwa kuwa wamepoteza mchezo huo na Morocco wametangazwa washindi wa 3-0 kwa taarifa rasmi.

#afcon2025 #morroco #senegal #africanfootball #lbmedia #sportedation

3 months ago | [YT] | 15

Jabu Swaleh

Depu amecheguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwezi February.

Na izi ndio ni Takrimu zake katika mwezi huo.

3 months ago | [YT] | 35