Jitahidi uwe na ukaribu na watu sio kwamba wanataka Mali zako laa!! ila itakusaidia pale utapokuwa na matatzo, weka desturi ya kuwajulia hali Asubuhi na Jioni Majirani zako! Fanya kadri ya uwezo wako
Moja ya vita vigumu waislam waliuliwa sana ni vita vya uhudi ,na sababu ni kukhalifu amri moja tu ya mtume ﷺ kwa watu aliowaweka ktk mlima ainain(rumat) kufata ghanima ,na walikatazwa kshuka iwe wameshinda au kushindwa wasishuke
Huo ndio uelekeo wa vita na mwanzo
Waislamu ndio walikuwa wameshashinda vita mpka makafir wakakimbia kufika karb miiqat ,lkn khalid bin khalid baad ya kushuka watu wa mliman akatumia mbinu hyo kuwazunguka waislamu na wakauawa waislam mpka kukaenea khabar mtume ﷺ ameuawa Rejeen suratil imran Allah ameelezea
Golden Voice
#Goldenvoice
1 year ago | [YT] | 7
View 1 reply
Golden Voice
#Habiibtv
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Golden Voice
#Habiibtv
3 years ago | [YT] | 1
View 0 replies
Golden Voice
Jitahidi uwe na ukaribu na watu sio kwamba wanataka Mali zako laa!! ila itakusaidia pale utapokuwa na matatzo, weka desturi ya kuwajulia hali Asubuhi na Jioni Majirani zako! Fanya kadri ya uwezo wako
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Golden Voice
Moja ya vita vigumu waislam waliuliwa sana ni vita vya uhudi ,na sababu ni kukhalifu amri moja tu ya mtume ﷺ kwa watu aliowaweka ktk mlima ainain(rumat) kufata ghanima ,na walikatazwa kshuka iwe wameshinda au kushindwa wasishuke
Huo ndio uelekeo wa vita na mwanzo
Waislamu ndio walikuwa wameshashinda vita mpka makafir wakakimbia kufika karb miiqat ,lkn khalid bin khalid baad ya kushuka watu wa mliman akatumia mbinu hyo kuwazunguka waislamu na wakauawa waislam mpka kukaenea khabar mtume ﷺ ameuawa
Rejeen suratil imran Allah ameelezea
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Golden Voice
#Habiibtv #Hekmanaiman
3 years ago | [YT] | 3
View 0 replies
Golden Voice
#Habiibtv #Hekmanaimani
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Golden Voice
#Habiibtv #hekmanaiman
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Golden Voice
#HabiibtvNews TAARIFA YA MAZISHI YA MWALIMU, NA MWANAZUONI SHEIKH ABDALLAH CHEMBEA ALIEFARIKI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MAZISHI YATAFANYIKA KESHO JIJINI TANGA MAKORORA
KWA SASA SAFARI YA KUUPELEKA MWILI TANGA KUTOKEA DAR ES SALAAM IMEANZA USIKU HUU
ALLAH AWAPE SUBIRA WAFIWA NA ALITIE NURU KABULI LA NDUGU YETU
Na Bin Maaruf
3 years ago | [YT] | 1
View 0 replies
Golden Voice
3 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Load more