Simulizi Za Tina

Ahsante kwa kutembelea ukurasa Huu..Subscribe kwa Video mpya kila siku.Zenye ku elimisha na kuburudisha.karibuni sana

Simulizi Za Tina

Habari wapendwa wangu! ❤️

Kwa sasa ninajiandaa na mitihani yangu, hivyo nitakuwa napost mara nne kwa wiki, yaani Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Ijumaa.

Siku zilizobaki nitazitumia kujiandaa vizuri kwa ajili ya mitihani.

Kuanzia tarehe 20/7, tutarejea kwenye ratiba yetu ya kawaida ya kupost kuanzia Jumanne hadi Ijumaa.

Nawapenda sana! ❤️ Asanteni kwa kuelewa, na msisahau kushare post zangu. 🙏✨

2 weeks ago | [YT] | 18

2 weeks ago | [YT] | 10

Simulizi Za Tina

Kesho kama kawaida hatutakuwa na kipindi mpaka Ijumaawapendwa wangu

3 weeks ago | [YT] | 12

Simulizi Za Tina

Wapendwa wangu kesho hatutakuwa na kipindi hivyo nitaunganisha na cha Ijumaa mpate kirefu zaidi

1 month ago | [YT] | 23

Simulizi Za Tina

Wapendwa wangu habarini za wakati huu.Leo hatutakuwa na kipindi kutokana na Sababu zilizo njee ya uwezo wetu.Tunawatakia siku njema tukutane kesho.

1 month ago | [YT] | 17

Simulizi Za Tina

Wapendwa wangu leo ni Saa kumi jioni.

1 month ago | [YT] | 14

Simulizi Za Tina

Shukrani sana kwa jumbe zenu tukutane kesho saa kumi katika Episode mpya wapendwa wangu

1 month ago | [YT] | 9

Simulizi Za Tina

Ndugu zangu kesho nina mitihani sitoweza kupost mpaka Ijumaa.Mwenyezi Mungu awalinde.

1 month ago | [YT] | 18

Simulizi Za Tina

Kesho saa kumi kamili Video yetu itaruka hewani wapendwa wangu.

2 months ago | [YT] | 11

Simulizi Za Tina

Ndugu zangu kesho hatutakuwa na Kipindi mpaka Kesho kutwa kutokana na changamoto zilizo njee ya uwezo wangu.

2 months ago | [YT] | 12