KARIBU Ukurasa Rasmi wa (TBC TAIFA) Fahari ya Watanzania , redio inayomilikiwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), unaweza kusikiliza na kutazama mbashara vipindi mbalimbali hapa kama Mwendo ,Jamvi la Machweo ,KAIFA, Uhondo wa Mapishi, Papaso ,Damka , Meza ya Michezo na Matangazo ya Mpira Ligi kuu NBC
TBC ni mdhamini mkuu wa NBC Premier League. Tunakuletea mechi zote za Ligi Kuu Tanzania mubashara, uchambuzi wa kabla na baada ya mechi, mahojiano na wachezaji, makocha na wataalamu wa soka
Masafa Yetu
(FM):87.8 FM – Dar es Salaam
87.7 FM – Arusha, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Tanga, Tabora, Kigoma, Bukoba, Musoma, Songea, Iringa
87.9 FM – Morogoro, Moshi, Lindi, Shinyanga
Tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii
Instagram: www.instagram.com/tbctaifa/
TikTok: www.tiktok.com/@tbctaifadigital
Facebook: www.facebook.com/tbctaifatz/
Usikose Cho Chote!
Subscribe kwenye channel yetu ya YouTube, washia kengele