Karibu Upate Habari Za kijamii, Kiuchumi, Utamaduni na Siasa kwa kina na Uhakika Kupitia Kisa Media.

πŸ“ Serengeti, Mugumu
πŸ“§ Kisafm370@gmail.com

πŸ“ΊUSISAHAU KUSUBSCRIBE NA KUTUFATILIA KUPITIA MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII.

PAMOJA TUNAANGAZA



KISA MEDIA

#Kisafmradio inaugana na Watanzaniakatika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Hayati SheikhAbeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Muasisi wa Muungano.

Tutaendelea kuenzi kumkumbuka ya Mzee wetu Karume kwa uzalendo, ujasiri, uthubutu na mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja, mshikamano na maendeleo ya Zanzibar na Tanzania.

#kisafmupdates

3 months ago (edited) | [YT] | 5

KISA MEDIA

"ASANTE SANA FAMILIA YA KISA MEDIA! πŸ™β€οΈ
Tumefikisha SUBSCRIBERS 1K kwa sababu ya UMOJA, IMANI na MAPENZI yenu ya kweli πŸ’―
Nawashukuru kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari hii πŸ“ΉπŸ”₯
Safari bado inaendelea β€” tuendelee kushirikiana, kujifunza na kukua pamoja πŸ’ͺ🌟

#PAMOJATUNAANGAZA πŸ”₯
#KisaMedia #ShukraniZaDhati #1KSubscribers

11 months ago | [YT] | 13