This is the official Youtube channel for the Mwenge Seventh-Day Adventist church in Dar es Salaam, Tanzania. This is where you can view various videos of sermons, gospel songs and other various church events. Welcome to subscribe to our channel, share our links, like and comment.
Mwenge SDA Church
SIKU 10 ZA MAOMBI NA KUFUNGA โ 2026
Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge linawaalika waumini wote kushiriki katika Siku 10 za Maombi na Kufunga, kuanzia tarehe 7โ17 Januari, 2026, kila siku kuanzia saa 11:00.
Ni wakati wa kujikabidhi kwa Bwana, kuvunjwa minyororo, kufunguliwa milango ya neema, na kuanza mwaka 2026 pamoja na Mungu.
Njoo uweke mipango yako mbele za Bwana, uanze safari ya mwaka mpya ukiwa umefunguliwa kiroho, kimawazo na utendaji.
โKufunguliwa ni mwanzo wa ushindiโ
#mwengesdachurch #maombi #siku10zamaombi
4 months ago (edited) | [YT] | 44
View 3 replies
Mwenge SDA Church
Unapopata changamoto kwenye maisha yako, usikate tamaa yule mtuliza bahari atautuliza upepo unaokusumbua. Petro alipo ona dhoruba imezidi alimuita Yesu naye akaitika. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
๐ Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge.
#mwengesdachurch #sabato #sabbath #adventist #adventistnewsnetwork
1 year ago | [YT] | 10
View 0 replies
Mwenge SDA Church
Ili utembee juu ya maji inatakiwa uishinde hofu ya upepo iliyo ndani yako na usikubali kuwa upepo. Maana upepo utakufanya ushindwe kufikia malengo yako. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
๐ Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge.
#mwengesdachurch #sabato #sabbath #adventist #adventistnewsnetwork
1 year ago | [YT] | 10
View 0 replies
Mwenge SDA Church
Ili uyashide majaribu unahitaji Imani. Amini Mungu anaweza. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
๐ Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge.
#mwengesdachurch #sabato #sabbath #adventist #adventistnewsnetwork
1 year ago | [YT] | 4
View 1 reply
Mwenge SDA Church
Wengine wakiona una anguka, kwa Imani tambua unainuka. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
๐ Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge.
#mwengesdachurch #sabato #sabbath #adventist #adventistnewsnetwork
1 year ago | [YT] | 7
View 0 replies
Mwenge SDA Church
Ukisumbuliwa na changamoto mbalimbali muite Mungu. Mungu wetu ni mwaminifu atasikia kilio chako~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
๐ Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge.
#mwengesdachurch #sabato #sabbath #adventist #adventistnewsnetwork
1 year ago | [YT] | 14
View 1 reply
Mwenge SDA Church
Yesu anasema upitapo katika changamoto nzito nitakuwa na wewe. Ahadi zake ni za kweli, amini naye hatokuacha kamwe. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
๐ Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge.
#mwengesdachurch #sabato #sabbath #adventist #adventistnewsnetwork
1 year ago | [YT] | 13
View 0 replies
Mwenge SDA Church
Ukimuita Yesu kwenye maisha yako, utayakabili yale mazito unayoyapitia naye atayafanya kuwa mepesi. Unalotakiwa kufanya ni kuwa na Imani. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
1 year ago | [YT] | 12
View 2 replies
Mwenge SDA Church
Kwenye maisha yako chombo chako nahodha wake ni nani? je, ni mali unazo miliki? je, ni ndugu zako? je, ni kazi yako? Muite Yesu awe nahodha wa chombo chako. ~ Eng. Modekai Sanga.
Neno kuu ni: "Nishike Mkono"
1 year ago | [YT] | 9
View 0 replies
Mwenge SDA Church
The Clarion Call Ministry - Imba Sifa za Bwana
1 year ago | [YT] | 3
View 0 replies
Load more